Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 12,738
- 19,864
Hatuwezi kushindana sisi kama sisi pekee bali kama Africa tunaweza... tukitaka kushindana peke yetu lazima baadhi ya vitu na ujinga tuachane nao..... (Na sababu umezungukwa na walafi na walamba asali ukitaka kwenda ndivyo sivyo utapigwa jungu na unaweza kujikuta pale alipopelekwa GaddafiHili tumeishashikwa toka Marekani walipoifanya pesa yao kuwa pesa ya dunia. Na jeshi lao kazi yake kubwa ni kulinda hiyo status ya dola. Tukitaka kuachana nayo tuwe tayari kupambana hasa.
Mfano kutumia mafuta / petrol wakati kuna gesi asilia (ingawa huenda tushauza)...; Mentality kwamba cha ughaibuni ndio bora.., Tamaa ya kupata leo leo (sababu ukiamua kuachana na status quo watakuminya balaa inabidi uwe tayari kufunga mikanda... ; In short wala dollar sio tatizo; bali tatizo ni hatupendi homegrown (moja) na mbili homegrown haina quality....