Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

DRC kuna visa mleta mada mwongo hiyo list kaitoa Wikipedia au wapi?

Kuwa mstaarabu basi.

Yaweza kuwa kachapia naye ni binadam.
Hili lakukurupuka na lugha zenu za maporomokoni kwenu,
Ndio nini sasa?

Kama yeye muongo kwanini wewe hukuwa wa kwanza kutuhabarisha huo ukweli unaoujua wewe?

Mijitu mingine sijui imelelewaje?
Hata chembe ya busara hamna,
Ujuaji wa kishamba huo.
 
Mleta mada hajaongelea nchi ambazo ukiiingia hamna immigration na huulizwi passport
kuna nchi inaitwa somalia unaingia bila passport ukitua border ya nchi zinazopakana nayo au airport ukigongewa kutoka nchi hizo ukienda upande wa somalia hakuna immigration wala wa kukugongea passport kuwa umeingia somalia . Unaenda kivyako kitakochokukuta huko utajijua na ukirudi mipaka ya nchi zingine au airport inayopakana na somalia lazima ugongewe kwenye passport PI au prohibited immigrant son and daughter of alshabab sababu unakotokea hakijulikani huna muhuri wa immigration
Hapo kwenye PI hapo.
Pakupaangalia sana.
 
Kuwa mstaarabu basi.

Yaweza kuwa kachapia naye ni binadam.
Hili lakukurupuka na lugha zenu za maporomokoni kwenu,
Ndio nini sasa?

Kama yeye muongo kwanini wewe hukuwa wa kwanza kutuhabarisha huo ukweli unaoujua wewe?

Mijitu mingine sijui imelelewaje?
Hata chembe ya busara hamna,
Ujuaji wa kishamba huo.
Kweli kabisa. Ustaarabu unaweza kukwambia malezi au tabia ya mtu. Kwani ukimkosoa mwenzio bila matusi, dharau na kebehi utapungukiwa nini? Utaonekana hujui au mshamba? Kama kakosea mwambie tu vizuri au rekebisha wewe. Ni moja ya njia ya kujifunza. Mwenzio kajitahidi kusoma na kutuletea mada, wewe kila siku kazi yako kukomenti za watu tu hata mada moja huna humu ndani ili tupime hata uwezo wako wa usomaji. Muulize basi hapo anapenda nini? Utasikia reading!
 
By the way mambo ya CHAI ama hongo UTAFUNGWA katika nchi nyingi za hizo, KWELI ni KWELI na kama huna jibu senma SIJUI. Hilo litamwokoa mtu kuliko hongo
Unenijumbusha kijana wa ki- bongo alikuwa na makosa ughaibuni alijaribu kum hinge polisi £500 wayamalize, polisi alum jibu hiyo pesa yako haitoshi kulipia mortgage yangu kijana twende kituoni.
 
Unenijumbusha kijana wa ki- bongo alikuwa na makosa ughaibuni alijaribu kum hinge polisi £500 wayamalize, polisi alum jibu hiyo pesa yako haitoshi kulipia mortgage yangu kijana twende kituoni.
Hahahaaaa!! Yaani alitaka ku export upuuzi wa Kiafrika huko.
Duh! inashangaza sana wakati mwingine.
 
Kuwa mstaarabu basi.

Yaweza kuwa kachapia naye ni binadam.
Hili lakukurupuka na lugha zenu za maporomokoni kwenu,
Ndio nini sasa?

Kama yeye muongo kwanini wewe hukuwa wa kwanza kutuhabarisha huo ukweli unaoujua wewe?

Mijitu mingine sijui imelelewaje?
Hata chembe ya busara hamna,
Ujuaji wa kishamba huo.
Nafikiri umemjibu vyema.
Kama angesoma uzi wangu vizuri kuhusu Congo asingesema hivyo.
 
hapo kwa ithiopia unechemjaa
Kama nilivyosema pata habari mapema kabla ya safari. Maana policy za Uhamiaji hubadilika kulingana na uongozi unaoingia madarakani. Hata hivyo tunakubaliwavisa free. ISIPOKUWA ulizia ubalozini mwao KWANZA.
 
Kweli kabisa. Ustaarabu unaweza kukwambia malezi au tabia ya mtu. Kwani ukimkosoa mwenzio bila matusi, dharau na kebehi utapungukiwa nini? Utaonekana hujui au mshamba? Kama kakosea mwambie tu vizuri au rekebisha wewe. Ni moja ya njia ya kujifunza. Mwenzio kajitahidi kusoma na kutuletea mada, wewe kila siku kazi yako kukomenti za watu tu hata mada moja huna humu ndani ili tupime hata uwezo wako wa usomaji. Muulize basi hapo anapenda nini? Utasikia reading!
Huenda atasaidika. Badala ya huyo jamaa mnayemzungumzia, yaani kulaumu tu.Huenda amesikia na kuelewa labda.
Shukrani.
 
Zina impact gani hzo nchi kwenye Uchumi wetu labda?

Zina athari chanya na ndio maana tukawepo kwenye taratbu za Nchi hizo.
Hujiulizi kwanini sio Nchi zote?

Athari nyingine kwa nyie msioona kwa urahisi unaipata kataka Uzi huuhuu,
Unahisi hawa ambao wanakubali na kuonyesha wazi ari na nia kuenda katika baadhi ya Nchi hizo wanaenda burebure?

Unaonaje wakienda kutafuta fursa za kazi huko, Biashara za moja kwa moja au Ushirika na kadhalika, Sio athari kwa Nchi?

Tujiongezage.
 
Uende somalia kutafuta nini kwanza?
na kufanya nini?

Hayo ndio Zé mawazo mgandoz.
Unahisi hakuna maisha huko?

Fursa zikiwepo inabidi kusonga tu acha uoga dogo, Uoga wako ndio umaskini wako.
 
Hayo ndio Zé mawazo mgandoz.
Unahisi hakuna maisha huko?

Fursa zikiwepo inabidi kusonga tu acha uoga dogo, Uoga wako ndio umaskini wako.
Katika kuongezea hapo, somali ni moja ya njia kubwa iliyokuwa inatumika na kaka zetu miaka ya nyuma kuzamia/ kuelekea nchi za ulaya. Kaa na mabaharia utapata story vizuri. So sio ni useless kwetu kabisa ila tu zama zina badirika.
 
Zina impact gani hzo nchi kwenye Uchumi wetu labda?
Watanzania wengi wakipata kazi nchi zingine na wapate MISHAHARA MIZURI, impact katika Uchumi wetu ni wakati wana faya REM jambo tunaloliita
Money REMITTANCE/KUTUMA PESA nyumbani Tanzania ILI kuwekeza ama kuwatumia ndugu zao kuwasaidia.
KUMBUKA hela wanayoituma ni YA KIGENI then foreign reserve yetu inaongezeka na ajira pia zitaongezeka WANAPOWEKEZA. Maana huko ughaibuni ni kutafuta tu na unarudi nyumbani baada ya muda fulani.

Nafikiri nimejaribu kukueleza ipasavyo. Nchi zingine Afrika ZIMEINUA UCHUMI wao sana kutegemea watu wa DIASPORA/Watu wa UGHAIBUNI.

Tuchukue mfano wa jirani zetu Wakenya ambao hujaribu sana kusafiri ili kutafuta maisha nchi zingine.Hata nchi ya hatari kama Sudan Kusini Wamejaa wametapakaa mataifa mengi duniani ili mradi kuna FURSA.
Remittance yao ime overtake/KUZIPITA exports za
CHAI,
KAHAWA,
UTALII na
Kilimo cha mboga na matunda

Maana WAKENYA hutuma hela katika dollar nchini mwao. Na hivyo kuimarisha uchumi wao kwa njia moja ama nyingine.

Report yao ya CBK- Central Bank of Kenya iliyotolewa mwezi October2017 inasema Mamillioni ya Dollar za Kimarekani ZILIINGIA NCHINI toka kwa wanaofanya kazi nchi za nje.

Na hivyo kuifanya CBK kuona UMUHIMU wa wana Ughaibuni na hivyo KILA MWEZI wana MONITOR the inflow of remittances. WAKIPOKEA REPORT toka kwa BENKI zote nchini KILA MWEZI maana wameona UMUHIMU wa hawa watu walio nje ya nchi wanaosaidia kuujenga uchumi. Maana helaza kigeni zinaongezeka.

Kenya ni ya TATU katika nchi za Afrika ambayo wananchi wake wanatuma fedha nyingi nyumbani kwao:

1.NIGERIA hupokea Dollar Bilion 22.3 kwa MWAKA kutoka kwa Wanaughaibuni.
2.SENEGAL 2.3 Billion dollars kwa mwaka.
3 Ya Tatu ni Kenya MAMILION ya Dollar kwa mwaka.
Tanzania TUKO WAPI??????????

Kwani ni vibaya WATANZANIA wakianza nao KUTAFUTA Maisha na kuchangia katika kukua kwa uchumi wetu?????
Tutabaki nchi iliyo nyuma katika kila kitu hadi LINI???????
UZI wangu nikufungua macho ya watu WAAMKE wanaoweza ili tulijenge taifa letu PAMOJA.
 
Back
Top Bottom