Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,335

Kuna utaratibu wa kila nchi katika kuruhusu wageni kuingia nchini mwao. Nchi zote duniani huitaji Visa itakayokupa ruhusa wewe kukaa nchini mwao kwa kipindi utakachokuwa umepewa.

Lakini kutokana na urafiki na makubaliano ambayo huwa yanafanywa na baadhi ya nchi juu ya uhuru wa kutembeleana kwa watu wao, huwa wanaamua kutoa kikwazo cha visa na hivyo kururhusu watu wao kutembeleana pasipokuwa na visa.

Tanzania inajumla ya nchi 76 ambazo mtanzania anaweza kutembelea pasipokuwa na visa ya kumuwezesha kuingia ndani ya nchi hizo.

Baadhi ya nchi hizo ni Albania, Cook Islands, Djbouti, Dominica, Ethiopia, Ecuador, Fiji, Grenada, Gambia, Georgia, Haiti, Nepal, Namibia, St Lucia, Singapore, Seychelles, Swaziland, Tuvalu, Togo, Trinidad & Tobago, Timor-Leste, Uganda, Vanuatu, Zambia, Zimbabwe

Nyingine hizi hapa
Antigua & Barbuda
Albania
Armenia
Azerbaijan
British Virgin Islands
Barbados
Bangaladesh
Botswana
Burundi
Bahamas
Belize
Bermuda
Bolivia
Cambodia
Cayman Islands
Cape Verde
Comoros
Cook Islands
Djibouti
Dominica
Ethiopia
Ecuador
Egypt
Fiji
Grenada
Gambia
Guinea
Georgia
Haiti
Hong Kong (3months Visa upon arrival)
Jamaica
Jordan
Kenya
Kosovo
Laos
Lebanon
Lesotho
Libya
Liberia
MacauMalaysia (1 month visa upon arrival)
Madagascar
Maldives
Malawi
Mauritius
Micronesia
Mozambique
Montserrat
Mongolia
Nauru
Niue
Nepal
Namibia (1 month visa upon arrival)
Nicaragua
Palau
Philipines
Qatar
Rwanda
Samoa
Suriname
St.Kitts & Nevis
St.Vincent & Grenadines
St. Lucia
Sierra Leone
Singapore (1 month visa upon arrival)
Seychelles
Swaziland
Tuvalu
Togo
Turkmenistan
Trinidad & Tobago
Timor-Leste
Uganda
Vanuatu
Zambia
Zimbabwe

In the case of Egypt, travelling without visa applies only if touring the Sharm el sheikh resorts.
 
......nchi zote hizo wachovu kama bongo, ndio maana unaweza kwenda bila visa.

niko tayari nikulipie ticket nikupeleke Qatar,Singapore na Hongkong harafu unionyeshe uchovu wao,wanaojua maana za fursa watachangamkia maana kuna nchi hapo ni nzuri kibiashara ata kwa kutembea pia.

Wale ambao wanajua wao wachovu ndio wanaishia kulalamika
 
Nichomekee swali hapa hivi kwa sasa hivi dunia inayo nchi ngapi kwa ujumla??
 
Mleta mada nadhani rekebisha kauli kwamba unaweza kwenda nchi hizo na kupata visa on arrival na sio kuingia bila visa na tena uwe umwfanya arrangement kabla vinginevo unageuzia airport jaribu kwenda ethiopia bila mipango uone kama hujarudia airport unapata visa on arrival bana mf Djibout acha kabisa
 
Back
Top Bottom