Sawa mkuu.
Sawa mkuu.
Hata Kenya, hebu jaribu uoneHongkong japo hawana Viza lakini ni wasumbufu wakubwa hasa kwa wazanzibari na watanzania kwa ujumla wengi wamewahi kurejeshwa uwanja wa ndege wakiwa na pesa zao pasipo kupewa viza, ni vyema ujulikane utaratibu mapema kuliko watu kufunga Safari hadi hongkong kisha unarudishwa Airport
Niliposema free nimemaanisha visa on entry ,na sio kwa nchi zote lakini nchi nyingi karibu 150.hawaingii FREE kama unavyosema mkuu. Sheria ni sheria na UPENDELEO ni UPENDELEO. Marekani hawaingii kila mahali kienyeji, Huomba Visa ama HUnnyimwa visa. Nchi kama Korea Kaskazini nk.
Mjerumani ndiye mwenye passport yenye nguvu mkuu anaingia zaidi ya nchi 150Passport ya Marekani ndo inanguvu zaidi na wanaingia free nchi mia na zaidi,vipi na wao wamepewa kwa vigezo kama vya tanzania?
Wana JF katika kelimishana tu maana kuna msemo usemao information is power/ Habari ni nguvu
Maranyingi Watanzaniahatupendi kusafiri sana na sijui ni kwa nini,hata hivyo kuna wachache wanaojaribu. Ili kila mtu AFAIDIKE kwa namna moja au nyingine pengine kutafuta maisha,Kazi,Kutembea kusoma nk.
Nchi hizinibaadhi ya nchi ammbazo Watanzania WANARUHUSIWA KUINGIA na kupata VISA on arrival ni:
1.Antigua
2.Albania
3.Armenia
4.Azebaijan
5.British Virgin Islands(siku 30 bila visa)
6.Barbados(miezi 6 bila visa)
7.Bangladesh
8.Botswana
9.Burundi
10.Bahamas
11.Belize
12.Bermuda
13.Bolivia
14.Cambodia
15.Cayman Island(siku 60 bila visa)
16.Cape Verde
17.Comoros
18.Cook Island(miezi 6)
19.Djibouti
20.Dominica(miezi 6 bila visa)
21.Ethiopia
22.Equador(miezi 3 bila visa)
23.Egypt**
24.Fiji
25.Grenada
26.Gambia
27.Guinea
28.Georgia(miezi 3 bila visa)
29.Haiti(miezi 3 bila visa)
30.Hongkong
31.Jamaica
32.Jordan
33.Kenya
34.Kosovo
35.Laos
36.Lebanon
37.Lesotho
38.Libya*
39.Liberia
40.Makau
41.Montserrat(miezi 3 bila visa)
42.Saint Lucia
43.Zimbabwe(miezi 3 bila visa)
44.Zambia(miezi 3 bila visa)
45.Uganda(miezi 3 bila visa)
46.Swaziland
47.South Africa
48.Rwanda
49.Namibia
50.Mozambique
51.Mauritius
52.Mali
53.Malawi
54.Madagasca
55.Guinea Bissau
56.D.R.C(siku 7)
57.Phillipines(siku 30 mpaka 59)
58.Tuvalu
59.Samoa(siku 60)
60.Niue-nchi za Oceania
61.Micronesia
62.Indonesia
Nafikiri kigezo kikuu cha Watanzania kuheshimika ni TABIA yao hawana ULOWEZI sana na UTAPELI TAPELI. Jirani zetu wanaruhusiwa kuingia nchi chache sana.
Tanzania Hoyee!!
Nchi nyingi kwenye hiyo ya free visa hasa hizo za visiwa maisha ni gharama kubwa mno huishi kwa kutegemea utaliii ukifika mahoteli yao ni ya kitalii ya bei kubwa mno .Ukikaa hata wiki utakuwa umewaingizia mapesa mengi.Cost of living ni kitu cha kutafakari kabla ya kwenda hata kama kutembeakUNA JAMBONILISAHAU KUKUAMBIA
GDP ya nchi ya NIUEANS ni dollar 5800 per capita juu sana,
DRC kuna visa mleta mada mwongo hiyo list kaitoa Wikipedia au wapi?No. 21. Ethiopia: Unapaswa kupewa on arrival visa (30 days) na lazima iwe approved kabla hujasafiri. Usithubutu kusafiri kama huna. Tumeanza lini kuingia DRC bila visa?
Mfano mzuri ni singapore na hong kong .gharama za maisha hazishikiki,unapewa miezi mitatu on entry lakini unaiona mingi sana kama mwaka vile.Nchi nyingi kwenye hiyo ya free visa hasa hizo za visiwa maisha ni gharama kubwa mno huishi kwa kutegemea utaliii ukifika mahoteli yao ni ya kitalii ya bei kubwa mno .Ukikaa hata wiki utakuwa umewaingizia mapesa mengi.Cost of living ni kitu cha kutafakari kabla ya kwenda hata kama kutembea
Nafahamu mkuu.Mjerumani ndiye mwenye passport yenye nguvu mkuu anaingia zaidi ya nchi 150
India kuna maeneo ya chennai wahindi wa kule wakristo wengi sio wabaguzi pia maeneo yenye wahindi waislamu sio wabaguzi India ubaguzi mkubwa uko maeneo ya wahindu .India maeneo yasiyo ya wahindu waafrika hawabaguliwi hata kuoa au kuolewa unaoa na kuolewa bila shidaNchi kama Ufaransa ni Mateso na ubaguzi.
Zingine zitazizungumzia heri nerthlands kuliko Marekani na India nk.
Na hiyo sweziland ndio uswis au kule kwa mzee bikraMfano mzuri ni singapore na hong kong .gharama za maisha hazishikiki,unapewa miezi mitatu on entry lakini unaiona mingi sana kama mwaka vile.
Thubutuu.ni ile swaziland ya mzee mswatiNa hiyo sweziland ndio uswis au kule kwa mzee bikra
HahahahahahahThubutuu.ni ile swaziland ya mzee mswati
Ile ya ulaya ni switzerlandHahahahahahah
Na kwenyewe kwenda huko ni mbinde?Ile ya ulaya ni switzerland