Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

shige2 kuna fursa gani huko za kimaisha?
1' Niue ni Kisiwa nkidogo sana chenye utajiri mwingi.
2. Idadi ya raia wake ni 1,611
[2011} ama sasaimeongezeka kidogo.
3. Ni nchi pekee ILIO DENI FREE duniani yaani DEBT FREE.
4. Utalii na madini ni moja ya nguzozake za kuiuchumi.
5.SI MWANANCHAMA wa Umoja wa MATAIFA.
Ukitaka kufika huko Ubalozi wa NewZealand unaweza kuwa msaada katika kupata more infor.
 
Nashukuru sana. Lakini unajua baadhi ya nchi hizo ni TAJIRI sana?
Acha zile maskini kama HAITI kuna Nyingi MKUU huwezi kusota. kazi kibao NA NAFASI KIBAO.
Nashukuru mkuu, ingawa watu wengependa pia kujua sheria za uhamiaji za mataifa kama UK, France. Germany, Netherlands, India, America nk. Hata hivyo kitendo chako cha kuchungulia fursa za mataifa uliyoyataja na kuyaweka hapa kinastaili pongezi. Asante mkuu
 
Mnh nchi zingine ni kama kijiji tu
Mfano British virgin island watu 28000(elfu ishirini na nane) hii si inaweza kulingana na kijiji cha ibutamisuzi?
Lakini je unajua utajiri wake?
GDP yake ni karibu dollar4000 na sisi hapa sijui 600 ama 700 na zaidi kidogo,
Huko ndo oppoturnities ziko mkuu.
 
Nashukuru mkuu, ingawa watu wengependa pia kujua sheria za uhamiaji za mataifa kama UK, France. Germany, Netherlands, India, America nk. Hata hivyo kitendo chako cha kuchungulia fursa za mataifa uliyoyataja na kuyaweka hapa kinastaili pongezi. Asante mkuu
Nchi kama Ufaransa ni Mateso na ubaguzi.
Zingine zitazizungumzia heri Netherlands kuliko Marekani na India nk.
 
Wana JF katika kelimishana tu maana kuna msemo usemao information is power/ Habari ni nguvu
Maranyingi Watanzaniahatupendi kusafiri sana na sijui ni kwa nini,hata hivyo kuna wachache wanaojaribu. Ili kila mtu AFAIDIKE kwa namna moja au nyingine pengine kutafuta maisha,Kazi,Kutembea kusoma nk.
Nchi hizinibaadhi ya nchi ammbazo Watanzania WANARUHUSIWA KUINGIA na kupata VISA on arrival ni:
1.Antigua
2.Albania
3.Armenia
4.Azebaijan
5.British Virgin Islands(siku 30 bila visa)
6.Barbados(miezi 6 bila visa)
7.Bangladesh
8.Botswana
9.Burundi
10.Bahamas
11.Belize
12.Bermuda
13.Bolivia
14.Cambodia
15.Cayman Island(siku 60 bila visa)
16.Cape Verde
17.Comoros
18.Cook Island(miezi 6)
19.Djibouti
20.Dominica(miezi 6 bila visa)
21.Ethiopia
22.Equador(miezi 3 bila visa)
23.Egypt**
24.Fiji
25.Grenada
26.Gambia
27.Guinea
28.Georgia(miezi 3 bila visa)
29.Haiti(miezi 3 bila visa)
30.Hongkong
31.Jamaica
32.Jordan
33.Kenya
34.Kosovo
35.Laos
36.Lebanon
37.Lesotho
38.Libya*
39.Liberia
40.Makau
41.Montserrat(miezi 3 bila visa)
42.Saint Lucia
43.Zimbabwe(miezi 3 bila visa)
44.Zambia(miezi 3 bila visa)
45.Uganda(miezi 3 bila visa)
46.Swaziland
47.South Africa
48.Rwanda
49.Namibia
50.Mozambique
51.Mauritius
52.Mali
53.Malawi
54.Madagasca
55.Guinea Bissau
56.D.R.C(siku 7)
57.Phillipines(siku 30 mpaka 59)
58.Tuvalu
59.Samoa(siku 60)
60.Niue-nchi za Oceania
61.Micronesia
62.Indonesia


Nafikiri kigezo kikuu cha Watanzania kuheshimika ni TABIA yao hawana ULOWEZI sana na UTAPELI TAPELI. Jirani zetu wanaruhusiwa kuingia nchi chache sana.
Tanzania Hoyee!!
Passport ya Marekani ndo inanguvu zaidi na wanaingia free nchi mia na zaidi,vipi na wao wamepewa kwa vigezo kama vya tanzania?
 
Passport ya Marekani ndo inanguvu zaidi na wanaingia free nchi mia na zaidi,vipi na wao wamepewa kwa vigezo kama vya tanzania?
hawaingii FREE kama unavyosema mkuu. Sheria ni sheria na UPENDELEO ni UPENDELEO. Marekani hawaingii kila mahali kienyeji, Huomba Visa ama HUnnyimwa visa. Nchi kama Korea Kaskazini nk.
 
Back
Top Bottom