Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Hayo ndio Zé mawazo mgandoz.
Unahisi hakuna maisha huko?

Fursa zikiwepo inabidi kusonga tu acha uoga dogo, Uoga wako ndio umaskini wako.
Nakubaliana nawe.Ila nchi kama hiyo ni kuishi roho mkononi. Hujui kama utarudi nyumbani. Hivo ndo nilivyokuwa najaribu kuweka uhalisia.
 
Zina athari chanya na ndio maana tukawepo kwenye taratbu za Nchi hizo.
Hujiulizi kwanini sio Nchi zote?

Athari nyingine kwa nyie msioona kwa urahisi unaipata kataka Uzi huuhuu,
Unahisi hawa ambao wanakubali na kuonyesha wazi ari na nia kuenda katika baadhi ya Nchi hizo wanaenda burebure?

Unaonaje wakienda kutafuta fursa za kazi huko, Biashara za moja kwa moja au Ushirika na kadhalika, Sio athari kwa Nchi?

Tujiongezage.
Mwambie asome jibu nimelijibu sasa hivi tu kuhusu impact za kiuchumi katika nchi yetu.
POST#461 page24
 
Ntaenda Botswana, burundi,
Eti BURUNDI? kutafuta nini huko? Kwanzanlugha Kifaransa, Na usalamandohivyo nu nusu.
Ungesema ni Botswana ningekubaliana nawe.
Maana huko kuna Watanzania wanaofanya kazi na wanalipwa vizuri tu.Hasa UKIPATA kibali cha kazi.
 
Hayo ndio Zé mawazo mgandoz.
Unahisi hakuna maisha huko?

Fursa zikiwepo inabidi kusonga tu acha uoga dogo, Uoga wako ndio umaskini wako.
dalalitz. Ze mawazo i givu u zea vely vely gudi. Ze mgando u sei,zea noti hia.
 
47 kumbe ndo maana Wachafu wanaserereka tu huko.
Tatizo ka Afika ya Kusini ni moja tu. Wenyeji hawapendi wageni. Huwaita jina "MAKWERE KWERE"' 'Wageni'
Hudaikuwa wageni wanchukua NAFASI zao za KAZI na wanawake wao. Maana wanaume wa SA ni WAVIVU sana.
 
naongea kiswahili,kifaransa,kiingereza na Hispaniola kidogo
Basi wewe uko sawa kabisa. Ukifika kwa Hispanic hutahangaika maana utajua kusema
Hello/ Hola Saludo. Ama habari yako/Como estas?
Ufaransa Salamu ni rahisi na
Kiingereza kwa kuwa unatoka nchi inayozungumza lugha hiyo haitakuwa vigumu sana. Nakutakia mafanikio mema.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaani ni Vinchi vya Ajabu ajabu sana, bora Jamaica utaenda kuvuta bangi.
Ni kweli Mkuu., mana nmesikia hata Mchicha unaochumwa kwenye ardhi ya Jamaica huwezi kulinganisha na Chaarusha!!!
 
Ni kweli Mkuu., mana nmesikia hata Mchicha unaochumwa kwenye ardhi ya Jamaica huwezi kulinganisha na Chaarusha!!!
Ninyi kweli ni wana JF wa ajabu sana. Badala ya kuwaza maendeleoyenu Mnawanza KUVUTA BANGI?
.Duh.Maajabu makubwa,
 
Ninyi kweli ni wana JF wa ajabu sana. Badala ya kuwaza maendeleoyenu Mnawanza KUVUTA BANGI?
.Duh.Maajabu makubwa,
Mkuu hatuwezi fanana interest wote, labda kama useme kwenye Uzi wako unataka Watu wenye mawazo kama yako!
 
Back
Top Bottom