Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Wana JF katika kelimishana tu maana kuna msemo usemao information is power/ Habari ni nguvu
Maranyingi Watanzaniahatupendi kusafiri sana na sijui ni kwa nini,hata hivyo kuna wachache wanaojaribu. Ili kila mtu AFAIDIKE kwa namna moja au nyingine pengine kutafuta maisha,Kazi,Kutembea kusoma nk.
Nchi hizinibaadhi ya nchi ammbazo Watanzania WANARUHUSIWA KUINGIA na kupata VISA on arrival ni:
1.Antigua
2.Albania
3.Armenia
4.Azebaijan
5.British Virgin Islands(siku 30 bila visa)
6.Barbados(miezi 6 bila visa)
7.Bangladesh
8.Botswana
9.Burundi
10.Bahamas
11.Belize
12.Bermuda
13.Bolivia
14.Cambodia
15.Cayman Island(siku 60 bila visa)
16.Cape Verde
17.Comoros
18.Cook Island(miezi 6)
19.Djibouti
20.Dominica(miezi 6 bila visa)
21.Ethiopia
22.Equador(miezi 3 bila visa)
23.Egypt**
24.Fiji
25.Grenada
26.Gambia
27.Guinea
28.Georgia(miezi 3 bila visa)
29.Haiti(miezi 3 bila visa)
30.Hongkong
31.Jamaica
32.Jordan
33.Kenya
34.Kosovo
35.Laos
36.Lebanon
37.Lesotho
38.Libya*
39.Liberia
40.Makau
41.Montserrat(miezi 3 bila visa)
42.Saint Lucia
43.Zimbabwe(miezi 3 bila visa)
44.Zambia(miezi 3 bila visa)
45.Uganda(miezi 3 bila visa)
46.Swaziland
47.South Africa
48.Rwanda
49.Namibia
50.Mozambique
51.Mauritius
52.Mali
53.Malawi
54.Madagasca
55.Guinea Bissau
56.D.R.C(siku 7)
57.Phillipines(siku 30 mpaka 59)
58.Tuvalu
59.Samoa(siku 60)
60.Niue-nchi za Oceania
61.Micronesia
62.Indonesia


Nafikiri kigezo kikuu cha Watanzania kuheshimika ni TABIA yao hawana ULOWEZI sana na UTAPELI TAPELI. Jirani zetu wanaruhusiwa kuingia nchi chache sana.
Tanzania Hoyee!!
nataka nienda Barhamas nikajifunze riadha wale watu wanachomoka sana kwa kufukuza upepo
 
Lakini tatizo moja naliona ni kwamba kuna nchi inabidi uwe naviza kabla ya ile ya moja kwa moja unayoiendea hivyo inakubidi tu ukate viza mahsusi.
 
chama fulani kimezoeleka na hii oyeeeeeeeeeeee so nisiwakwaze watz wote
Hawatakwazika,maana ni uhuru wa maoni na kuegemea chama chochote ukipendacho. Ili mradi tu mtu havunji sheria.
Swali langu nikuwa?
Je huu UZI wa nchi ambazoMtanzania anaweza kwenda bila Visa una UHUSIANO upi na Chama fulani mkuu?
Kuwa muwaz itu.
 
nataka nienda Barhamas nikajifunze riadha wale watu wanachomoka sana kwa kufukuza upepo
Hayo nayo ni maono mazuri.Kama KIMO chako cha urefu kinakubali
,ikiwa ni pamoja na mwili wako kama wewe si mnene.
Je unazungumzia Bahamas ama Jamaica?
 
Ulianagalia hiyo list pengine wao ndio watafaidika kuja tanzania bila viza, interesting hapo za kwenda labda ni Egypt, SA, HongKong na Macau wengine wote sioni kama ni interesting destinations.
 
Wana JF katika kelimishana tu maana kuna msemo usemao information is power/ Habari ni nguvu
Maranyingi Watanzaniahatupendi kusafiri sana na sijui ni kwa nini,hata hivyo kuna wachache wanaojaribu. Ili kila mtu AFAIDIKE kwa namna moja au nyingine pengine kutafuta maisha,Kazi,Kutembea kusoma nk.
Nchi hizinibaadhi ya nchi ammbazo Watanzania WANARUHUSIWA KUINGIA na kupata VISA on arrival ni:
1.Antigua
2.Albania
3.Armenia
4.Azebaijan
5.British Virgin Islands(siku 30 bila visa)
6.Barbados(miezi 6 bila visa)
7.Bangladesh
8.Botswana
9.Burundi
10.Bahamas
11.Belize
12.Bermuda
13.Bolivia
14.Cambodia
15.Cayman Island(siku 60 bila visa)
16.Cape Verde
17.Comoros
18.Cook Island(miezi 6)
19.Djibouti
20.Dominica(miezi 6 bila visa)
21.Ethiopia
22.Equador(miezi 3 bila visa)
23.Egypt**
24.Fiji
25.Grenada
26.Gambia
27.Guinea
28.Georgia(miezi 3 bila visa)
29.Haiti(miezi 3 bila visa)
30.Hongkong
31.Jamaica
32.Jordan
33.Kenya
34.Kosovo
35.Laos
36.Lebanon
37.Lesotho
38.Libya*
39.Liberia
40.Makau
41.Montserrat(miezi 3 bila visa)
42.Saint Lucia
43.Zimbabwe(miezi 3 bila visa)
44.Zambia(miezi 3 bila visa)
45.Uganda(miezi 3 bila visa)
46.Swaziland
47.South Africa
48.Rwanda
49.Namibia
50.Mozambique
51.Mauritius
52.Mali
53.Malawi
54.Madagasca
55.Guinea Bissau
56.D.R.C(siku 7)
57.Phillipines(siku 30 mpaka 59)
58.Tuvalu
59.Samoa(siku 60)
60.Niue-nchi za Oceania
61.Micronesia
62.Indonesia


Nafikiri kigezo kikuu cha Watanzania kuheshimika ni TABIA yao hawana ULOWEZI sana na UTAPELI TAPELI. Jirani zetu wanaruhusiwa kuingia nchi chache sana.
Tanzania Hoyee!!
Asante lkn mbukeghe ko fiki!?
 
naongea kiswahili,kifaransa,kiingereza na Hispaniola kidogo
Unaweza kufit HAITI ingawaje singependa uende huko maana ninchi MASKINI sana na wanaongea Kifaransa.
Nchi nyingi hapa ni zile zilizokuwa koloni za Waingereza.
Hispanish speaking nchi si nyingi na ni taabu tupu ACHANA NAZO.
Zile zinazoongea Kiingereza ndo hizo zitakufaa.
Preferably British Virgin Islands kuna nafasi na Fursa tele
 
Maana yake huko niende kufanya nini?
Ni lugha gani tamu namana hiyo. Ni kutoka Mkoa gani? Naipenda.
Jibu si lazima aende. Anaweza kubaki Tanzania na kujenga taifa letu maana taifa linahitaji watu kama yeye!!!!
Ahsante kwa kunipa tafsiri.
 
Back
Top Bottom