Nakuelewa sana. Lakini mpaka uingie JF. Ni lazima unataka kujifunza,Mkuu hatuwezi fanana interest wote, labda kama useme kwenye Uzi wako unataka Watu wenye mawazo kama yako!
Kufunza/Kuhamasisha.
Ama kupanua ufahamu wako.
Bila hilo basi mtu hana sababu ya kuingia jukwaani.
MIMI mwenyewe nimefaidika na mawazo tofauti na uelewa wangu. Yaani naheshimu mtuANAYENIZIDI katika kupanua uelewa wangu na nipate FAIDA. Sasa bangi nifaida gani? Si afadhali mtu kama huyo awe kijiweni akiongea MEDIOCIRITY/Vituvya kawaida vya mitaani.