ALAFU MKUU KWA ALBANIA haturuhusiwi kwenda uko bila visa naenda sana katika kanisa la KISHA ORTHODHOKSE
AUTOQEFALE E SHQIPËRISË yaan orthodox church of albania na visa kwa mtanzania ni lazima ukitaka kupata habari kamili juunya wapi unaweza enda bila visa na penyewe kama hujajipanga utaishiwa kuwa deported ,
jambo ambalo hamuelewi ni moja ni bora uende kwa nchi ambazo unaenda kwa visa kuliko bila visa,
maana mashart ya kuingia bila visa ni magumu kuliko ambaye katafta visa maana anayetafta visa kupitia balozi mbali mbali mashart hulegezwa mfano kuishi kwa siku wanakuhesabia dollar 35, tu na hotel unalipia, lakin kwenda nchi ambazo huitaji visa wanakubana mlangoni tu pale pale, vijana kuweni makini msikurupuke kabisa
mfano nitawapa idea ya nchi ambazo nimeenda bila visa na mashart yake
SINGAPORE unapaswa kuwa na kiasi cha kutosha na kuproove unaenda kufanya nini maelezo yako yakipishana pishana wale maafisa uhamiaji wankupeleka chumba cha deportation,
kiasi unachotakiwa kuwa nacho kwa siku ni 100$ mara siku utakazokaa,
alafu hotel uliyo book tarehe ziendane na siku unazaoomba kukaa nchini humo
kama ni mfanya biashara inabidi uwe na TIN NA LICENSE YA NCHI YAKO INAYOONESHA HATA ULIPAJI WAKO WA KODI
kama ni mwafrica hawasumbuki sana hawahoji sana yaan wanakuepelea kwenye room kuku deport wanajua waafrica wengi wanaenda kutafta kazi
kama ni matembezi unaelezea mambo mengi mno
kwa INDONESIA NA MALAYSIA wao pia hawana mchezo wale maafisa wao wakatili mno vya kutosha, mwaka 2010 walinirudisha na wakasema kwamba sina hela ya kutosha kukaa malaysia kwa mwezi mmoja wakati nilikuwa na dollar 2000 sawa na 8500 Malaysian Ringgit na nilienda tu kukaa kwa week mbili walisema hela haitoshi hivyo sitaruhusiwa kuingia malaysia
BELIZE Hawana shida ila nawaasa watu wanaojidanganya kwenda amerika kusini uko kuna matatizo wahuni wengi sana ukishuka tu airport na kuingia kitaa unakutana nawahuni wanataka hela they can kill you without no minute nakwambia
Uko bolivia sijui jamaica kuweni makini mnoo,
Kuna TIBILIS georgia hapa mpaka uwe Mtanzania unaisha ulaya au Canada au USA ndo utapewa kuingia,
Kwa nchi za africa ni vurugu tu hakuna utaratibu muhimu ukiwa na 20 dollars unahonga unaingia ,
NEPAL kathmandul hakuna shida wakati wa kuingia ila shida ni ubaguzi mkubwa mno uko nilipita eneo moja mtoto akalia saanaaa nikamsogelea mama yake akanifokea akasema usije we black anakuogopa mi nikamsogelea nikamkumbatia, akaacha kulia basi wakanisaidia kwenda mlima everest trekking tukawa marafiki ila ubaguzi ni wa juu mno,
INDONESIA NA CAMBODIA pia kuna ubaguzi wa hali ya juu, na rushwa iko juu sana wakiona ni muafrica wanakutoza hela nyingi, mfano permit ya kuishi Dominica ni 75 dollars kwa mwaka ila wakikuona ni muafrika utalipa mpaka 200, nilienda uko miezi mitatu mjini
Phnom Penh
hapa ndipo nilizuiliwa kuingia MAALAYSIA KISA SINA KIASI CHA KUTOSHA 2010 NIKIWA LIKIZO NIKASEMA NGOJA NIJIRUSHE AAAA WAPII, NIITUNZA DOCUMENT HII MAANA NILIHARIBU 870 USD NAULI ALAFU NARUDISHWA KIPINDI HICHO BILA KUKANYAGA KUALA LUMPUR????
kwahiyo msikurupuke tu kwenda maeneo bila uhakika,
kuwa na hela ya kutosha na kuwa na booking ya hotel na address yake, pili wengine wanadhani unaenda tu kama unaenda rwanda au burundi si hivyo