Nenda sehemu za majimbo ya wakristo na waislamu utaoa au kuolewa bila shida ila uwe na maisha sababu wahindi family bond ni kubwa kuliko watanzania wako kama wasukuma au wanyamwezi ndugu kujaa nyumbani kibao wakilala hata koridoni kawaida ukioa au kuolewa baba,babu,shangazi,mjomba nk kama hawana uwezo kimaisha ujiandae kulea na kuishi nao ila wana heshima na adabu sana tena sana kwa MTU anayewalea na kuwatunza unaweza kupotelea India kwa jinsi unavyoenziwa kama mfalme.Mzungu akiwa Tanzania anavyoenziwa ndivyo mswahili anavyoenziwa maeneo ya wakristo na waislamu India huwezi amini.Cha msingi hata ukiwa chizi Tanzania ukifika kule uwe msitaarabu usiongee kama umemeza CD na ujuaji mwingi be calm mwenye heshima na adabu na MTU wa ibada na mjali familia na ndugu wa huyo unayetaka kuoa au kuolewa naye.Na usiwe na papara za ukware .wahindi wa maeneo hayo sio wakware.Ushap shap wa ukware mwisho dar usipeleke maeneo hayo niliyoyataja.huwapenda watu wastaarabu .