Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Wana JF katika kelimishana tu maana kuna msemo usemao information is power/ Habari ni nguvu
Maranyingi Watanzaniahatupendi kusafiri sana na sijui ni kwa nini,hata hivyo kuna wachache wanaojaribu. Ili kila mtu AFAIDIKE kwa namna moja au nyingine pengine kutafuta maisha,Kazi,Kutembea kusoma nk.
Nchi hizinibaadhi ya nchi ammbazo Watanzania WANARUHUSIWA KUINGIA na kupata VISA on arrival ni:
1.Antigua
2.Albania
3.Armenia
4.Azebaijan
5.British Virgin Islands(siku 30 bila visa)
6.Barbados(miezi 6 bila visa)
7.Bangladesh
8.Botswana
9.Burundi
10.Bahamas
11.Belize
12.Bermuda
13.Bolivia
14.Cambodia
15.Cayman Island(siku 60 bila visa)
16.Cape Verde
17.Comoros
18.Cook Island(miezi 6)
19.Djibouti
20.Dominica(miezi 6 bila visa)
21.Ethiopia
22.Equador(miezi 3 bila visa)
23.Egypt**
24.Fiji
25.Grenada
26.Gambia
27.Guinea
28.Georgia(miezi 3 bila visa)
29.Haiti(miezi 3 bila visa)
30.Hongkong
31.Jamaica
32.Jordan
33.Kenya
34.Kosovo
35.Laos
36.Lebanon
37.Lesotho
38.Libya*
39.Liberia
40.Makau
41.Montserrat(miezi 3 bila visa)
42.Saint Lucia
43.Zimbabwe(miezi 3 bila visa)
44.Zambia(miezi 3 bila visa)
45.Uganda(miezi 3 bila visa)
46.Swaziland
47.South Africa
48.Rwanda
49.Namibia
50.Mozambique
51.Mauritius
52.Mali
53.Malawi
54.Madagasca
55.Guinea Bissau
56.D.R.C(siku 7)
57.Phillipines(siku 30 mpaka 59)
58.Tuvalu
59.Samoa(siku 60)
60.Niue-nchi za Oceania
61.Micronesia
62.Indonesia

Nafikiri kigezo kikuu cha Watanzania kuheshimika ni TABIA yao hawana ULOWEZI sana na UTAPELI TAPELI. Jirani zetu wanaruhusiwa kuingia nchi chache sana.
Tanzania Hoyee!!
Hii nimeipenda hizi ni fursa ambazo watanzania wengi hatukuwa tukizijua
 
Hongkong japo hawana Viza lakini ni wasumbufu wakubwa hasa kwa wazanzibari na watanzania kwa ujumla wengi wamewahi kurejeshwa uwanja wa ndege wakiwa na pesa zao pasipo kupewa viza, ni vyema ujulikane utaratibu mapema kuliko watu kufunga Safari hadi hongkong kisha unarudishwa Airport
 
Si wabaya. Tatatizo wakati mtu anapomumunya maneno. Maana swali kama hili ni LAZIMA uulizwe na ofisa wa uhamiaji.
madhumuni YA SAFARI?? na UTAKAAA MUDA GANI JIBU ZURI ni "Niko au nina tour/Talii ama natembelea nchi yenu hiii ilivyo "NZURI Ulimwenguni" Na MHURI PA!
 
Si wabaya. Tatatizo wakati mtu anapomumunya maneno. Maana swali kama hili ni lLAZIMA uulizwe na ofisa wa uhamiaji.
madhumimuni YA SAFARI?? JIBU ZURI niko nina tour ama natembelea nchi yenu "NZURI " na MHURI PA!
ebu wakumbushe kuwa na hongo si kitu cha kipaumbele kama kwetu...
 
Back
Top Bottom