Nchi kama Singapore ni nchi nzuri sana mara 1000 zaidi ya South Africa.South Africa
Isipokuwa tu SA ni nchi iliyo karibu na nzuri kuliko jirani zetu wa Kaskazini.
Nchi kama Singapore ni nchi nzuri sana mara 1000 zaidi ya South Africa.South Africa
By the way nani alikuambia Kenya ndo kuzuri.?mhhhhh!!! mbona hamna nchi hata moja ya maana zaidi ya Kenya???
Hakika. Ni vema kusoma sera zao zaHongkong japo hawana Viza lakini ni wasumbufu wakubwa hasa kwa wazanzibari na watanzania kwa ujumla wengi wamewahi kurejeshwa uwanja wa ndege wakiwa na pesa zao pasipo kupewa viza, ni vyema ujulikane utaratibu mapema kuliko watu kufunga Safari hadi hongkong kisha unarudishwa Airport
Mkuu nakuelewa sana. Kunahitajika Wizara ya Mambo ya Kigeni.... Kujali wananchi wake na kuwa na KUWAAMBIA Waingereza nao wafanye RECIPROCATION/Wawafanyie Watanzania UZURI na KULEGEZA vikwazo visivyo namaana kama TULIVYOWALEGEZEA.Ni aibu kwa uingereza kututawala halafu kutuzuia kwenda eti hadi tupate visa.Na visa yenyewe kuipata ni shughuli pevu ikiwa na pamoja na kutumia pesa nyingi.Vilevile unaweza kutumia pesa zako kuomba visa zikaliwa,visa ukose na pesa usirudishiwe!
Kupata information beforehand ni vizuri zaidi. Nakubaliana nawe kabisa,Hakika. Ni vema kusoma sera zao za
Kuingia nchini kwa kunako mtandao kabla hujasafiri. Nchi nyingine wanatoa viza zao ukishafika nchini kwao (visa on arrival), ila lazima uwe umeomba na kuruhusiwa.
Nikweli mkuu,hata ukihoji utaambiwa hiyo no mikataba ya kimataifa au sheria husika za nchi walizojiwekea,Mkuu nakuelewa sana. Kunahitajika Wizara ya Mambo ya Kigeni.... Kujali wananchi wake na kuwa na KUWAAMBIA Waingereza nao wafanye RECIPROCATION/Wawafanyie Watanzania UZURI na KULEGEZA vikwazo visivyo namaana kama TULIVYOWALEGEZEA.
Ni juhudi ya WIZARA husika.
Mim ihata ndege zao niliachana nazo na SIZITAKI.
Kwanza masaa NANE hivi KAMLO kamaja nako kadogo sana hamna hata ka chai wakati mwingine. Jamaa WACHOYO sana. Ninakuelewa sana mkuu. Ni sisi kama nchi ni LAZIMA tuwe na msimamamo na nchi kadhaatena katika masuala ya nchi za kigeni na uhamiaji zinazotaka URAFIKI NASI.Hiyo ndo dawa pekee.
Kwa kuongezea tu kidogo ni kuwa. Ukifika Airport. Ukiulizwana afisa uhamiajiKama nilivyosema kujieleza ni jambo la busara sana.
Nauliza tu kwa nia njema ulikuwaga unafikiri Bermuda ni nini kama si nchi?Hivi kumbe bermuda ni nchi?
Sasa kama ni kutembea unataka nauli ya nini? Au unatafuta miguu ya kutembelea?...basi sawa, ngoja nitafute nauli, nikipata nauli nitaenda kutembea.
Wizara husika ni lazima wawe SMART.Nikweli mkuu,hata ukihoji utaambiwa hiyo no mikataba ya kimataifa au sheria husika za nchi walizojiwekea,
Lakini ukweli ni kwamba mawaziri wetu wa mambo ya nje hawajachukua hatua za kujitosheleza kuhoji juu ya mambo kama haya,
Ukiangalia wao kuingia kwetu ni wepesi kama kutumbua mtu.
Kati ya nchi za kipuuzi sana ambazo siziwazii kwenda tena ni Uingereza. Viza yao kuipata ni complicated utadhani unataka kwenda Peponi vile. Na mbaya zaidi viza yao inatumika kwao tu. Ni bora mara [emoji817] nikahangaikia viza ya Schengen ambayo inaniruhusu kuingia nchi zaidi ya 25!Ni aibu kwa uingereza kututawala halafu kutuzuia kwenda eti hadi tupate visa.Na visa yenyewe kuipata ni shughuli pevu ikiwa na pamoja na kutumia pesa nyingi.Vilevile unaweza kutumia pesa zako kuomba visa zikaliwa,visa ukose na pesa usirudishiwe!
utapanda usafiri gani ?basi sawa, ngoja nitafute nauli, nikipata nauli nitaenda kutembea.
Tena tuanze na jamaa zetu wa makinikia kwa visa za Canada maana kwa mujibu wa mwamba kwenye mazungumzo mpaka sasa tuna wamudu vizuri kabisa.Wizara husika ni lazima wawe SMART.
Maana Wizarani katika kuna desk ama ofisi zao kila Mkurugezi ana ENEO LA NCHI ANAZOZISIMAMIA ambaye hutoa MAPENDEKEZO.
AKIZUBAA basi sehemu anayoisimamia katika desk Lake Linabaki ineffective/ Imedumaa na hamna jipya.
Ulimwengu sasa umebadilika. NI NIPE NIKUPE. Bila hivyo utachezewa danadana.
Na kwa kuwa nchini tuna MADINI TELE. Tunaweza KUDICTATE kwa TERM zetu/MASHARTI yetu.
NI SISI TU hatujachangamka.
Nafikiri serikali ya Magufuli katika kipindi hiki naiona ikipanua neti yake. Na huenda Policy za mambo ya kigeni kuhusu Tanzania na Watanzania zikiegemea katika KUWAJALI Watanzania. Nina matumaini.
Mkuu hana maana ya kutembea kwa miguu bhana..Kishwahili hakina misamiati mingi neno moja lawezakuwa na maaana mbili. Hilo ndo tatizola lugha yetu. Mfano ,Sasa kama ni kutembea unataka nauli ya nini? Au unatafuta miguu ya kutembelea?...
Mambo hayo. Ni Lazima chini ya Magufuli mabadiliko yaje. Na Waliopewa majukumu wayafanyie kazi katika desks zao nakutoa Mapendekezo on how to go about it.Tena tuanze na jamaa zetu wa makinikia kwa visa za Canada maana kwa mujibu wa mwamba kwenye mazungumzo mpaka sasa tuna wamudu vizuri kabisa.
Ni kweli kabisa mkuu.Kwanza sasa baada kujiondoa jumuani mwao Ulaya.Kati ya nchi za kipuuzi sana ambazo siziwazii kwenda tena ni Uingereza. Viza yao kuipata ni complicated utadhani unataka kwenda Peponi vile. Na mbaya zaidi viza yao inatumika kwao tu. Ni bora mara [emoji817] nikahangaikia viza ya Schengen ambayo inaniruhusu kuingia nchi zaidi ya 25!
Bora kama umeliona hilo na wewe. Nasikia mpaka 1995 Mbongo alikua anaenda UK bola viza. Sijui nini kilitokea tukapigwa stop kwenda bila vizaNi kweli kabisa mkuu.Kwanza sasa baada kujiondoa jumuani mwao Ulaya.
Heri Schengen mara 100 kama ulivyosema mkuu.
Kilichosababisha ni baadhi ya nchi zetu za Afrika Mashariki watu wao walipo wakaanza ku ABUSE mfumo huo.Bora kama umeliona hilo na wewe. Nasikia mpaka 1995 Mbongo alikua anaenda UK bola viza. Sijui nini kilitokea tukapigwa stop kwenda bila viza