Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Uhuru kenyata kakutuma uje utushawishi turopoke kutumia vitamburisho kula mema ya hii nchi.Pamoja ya yote ni kuwa hizo nchi hata sisi hatuzitozi Visa fee. Reciprocity
 
h
Wana JF katika kelimishana tu maana kuna msemo usemao information is power/ Habari ni nguvu
Maranyingi Watanzaniahatupendi kusafiri sana na sijui ni kwa nini,hata hivyo kuna wachache wanaojaribu. Ili kila mtu AFAIDIKE kwa namna moja au nyingine pengine kutafuta maisha,Kazi,Kutembea kusoma nk.
Nchi hizinibaadhi ya nchi ammbazo Watanzania WANARUHUSIWA KUINGIA na kupata VISA on arrival ni:
1.Antigua
2.Albania
3.Armenia
4.Azebaijan
5.British Virgin Islands(siku 30 bila visa)
6.Barbados(miezi 6 bila visa)
7.Bangladesh
8.Botswana
9.Burundi
10.Bahamas
11.Belize
12.Bermuda
13.Bolivia
14.Cambodia
15.Cayman Island(siku 60 bila visa)
16.Cape Verde
17.Comoros
18.Cook Island(miezi 6)
19.Djibouti
20.Dominica(miezi 6 bila visa)
21.Ethiopia
22.Equador(miezi 3 bila visa)
23.Egypt**
24.Fiji
25.Grenada
26.Gambia
27.Guinea
28.Georgia(miezi 3 bila visa)
29.Haiti(miezi 3 bila visa)
30.Hongkong
31.Jamaica
32.Jordan
33.Kenya
34.Kosovo
35.Laos
36.Lebanon
37.Lesotho
38.Libya*
39.Liberia
40.Makau
41.Montserrat(miezi 3 bila visa)
42.Saint Lucia
43.Zimbabwe(miezi 3 bila visa)
44.Zambia(miezi 3 bila visa)
45.Uganda(miezi 3 bila visa)
46.Swaziland
47.South Africa
48.Rwanda
49.Namibia
50.Mozambique
51.Mauritius
52.Mali
53.Malawi
54.Madagasca
55.Guinea Bissau
56.D.R.C(siku 7)
57.Phillipines(siku 30 mpaka 59)
58.Tuvalu
59.Samoa(siku 60)
60.Niue-nchi za Oceania
61.Micronesia
62.Indonesia


Nafikiri kigezo kikuu cha Watanzania kuheshimika ni TABIA yao hawana ULOWEZI sana na UTAPELI TAPELI. Jirani zetu wanaruhusiwa kuingia nchi chache sana.
Tanzania Hoyee!!
kuheshimika ilikuwa zamani sasa mapunda mengi na matapeli wa kimataifa wanatoka kwenye hii nchi ya kijamaa ya zamani.wote tumekuwa balaa.AFRICA KUSINI KWA KUUZA SEMBE NDIO WENYEWE NA VIBAKA PIA
 
Nashukuru sana. Lakini unajua baadhi ya nchi hizo ni TAJIRI sana?
Acha zile maskini kama HAITI kuna Nyingi MKUU huwezi kusota. kazi kibao NA NAFASI KIBAO.
Safi sana, hapo ukitaka kwenda unachagua kwenye list tu kisha unajipa tuisheni kujua nchi kiundani, kuanzia lugha, desturi, aina na biashara zilizopo huko, accommodation etc
 
kuu kwenye kuoa india itapendeza
Nenda sehemu za majimbo ya wakristo na waislamu utaoa au kuolewa bila shida ila uwe na maisha sababu wahindi family bond ni kubwa kuliko watanzania wako kama wasukuma au wanyamwezi ndugu kujaa nyumbani kibao wakilala hata koridoni kawaida ukioa au kuolewa baba,babu,shangazi,mjomba nk kama hawana uwezo kimaisha ujiandae kulea na kuishi nao ila wana heshima na adabu sana tena sana kwa MTU anayewalea na kuwatunza unaweza kupotelea India kwa jinsi unavyoenziwa kama mfalme.Mzungu akiwa Tanzania anavyoenziwa ndivyo mswahili anavyoenziwa maeneo ya wakristo na waislamu India huwezi amini.Cha msingi hata ukiwa chizi Tanzania ukifika kule uwe msitaarabu usiongee kama umemeza CD na ujuaji mwingi be calm mwenye heshima na adabu na MTU wa ibada na mjali familia na ndugu wa huyo unayetaka kuoa au kuolewa naye.Na usiwe na papara za ukware .wahindi wa maeneo hayo sio wakware.Ushap shap wa ukware mwisho dar usipeleke maeneo hayo niliyoyataja.huwapenda watu wastaarabu .
 
Mnh nchi zingine ni kama kijiji tu
Mfano British virgin island watu 28000(elfu ishirini na nane) hii si inaweza kulingana na kijiji cha ibutamisuzi?
mkuu vingi ni visiwa... sasa wasi wasi wangu kuna maeneo una weza enda ukawa ngozi nyeusi ni wewe pekee... na udogo wa sehemu una kuwa kama alama kwa watu, ina weza pelekea ukawa kivutio cha utalii....
 
Nchi kama Ufaransa ni Mateso na ubaguzi.
Zingine zitazizungumzia heri nerthlands kuliko Marekani na India nk.
ebu mkuu elezea vizuri hapa ktk ufaransa, maana wengine ndio tumeona gap hapo la kuingia ulaya ulaya... na waafrica wengi na sera zao zile za assimilation basi naisi nami ni msenegali au mbukinafaso kama sio mtunisia
 
Lakini je unajua utajiri wake?
GDP yake ni karibu dollar4000 na sisi hapa sijui 600 ama 700 na zaidi kidogo,
Huko ndo oppoturnities ziko mkuu.
hii nchi mgeni haruhusiwi kufanya kazi na masharti ya kazi ni kampuni au taasisi husika iende kukuombea au iwasilishe taarifa zako... lakini hawaruhusu kwenda na kutafuta kazi, wao wanataka kabla haujaenda ndipo uwe una work permit
 
Nchi nyingi kwenye hiyo ya free visa hasa hizo za visiwa maisha ni gharama kubwa mno huishi kwa kutegemea utaliii ukifika mahoteli yao ni ya kitalii ya bei kubwa mno .Ukikaa hata wiki utakuwa umewaingizia mapesa mengi.Cost of living ni kitu cha kutafakari kabla ya kwenda hata kama kutembea
upo sawa kabisa... na wana jaribu kucontrol population na land coverage viwe na uwiano...
 
Wana JF katika kelimishana tu maana kuna msemo usemao information is power/ Habari ni nguvu
Maranyingi Watanzaniahatupendi kusafiri sana na sijui ni kwa nini,hata hivyo kuna wachache wanaojaribu. Ili kila mtu AFAIDIKE kwa namna moja au nyingine pengine kutafuta maisha,Kazi,Kutembea kusoma nk.
Nchi hizinibaadhi ya nchi ammbazo Watanzania WANARUHUSIWA KUINGIA na kupata VISA on arrival ni:
1.Antigua
2.Albania
3.Armenia
4.Azebaijan
5.British Virgin Islands(siku 30 bila visa)
6.Barbados(miezi 6 bila visa)
7.Bangladesh
8.Botswana
9.Burundi
10.Bahamas
11.Belize
12.Bermuda
13.Bolivia
14.Cambodia
15.Cayman Island(siku 60 bila visa)
16.Cape Verde
17.Comoros
18.Cook Island(miezi 6)
19.Djibouti
20.Dominica(miezi 6 bila visa)
21.Ethiopia
22.Equador(miezi 3 bila visa)
23.Egypt**
24.Fiji
25.Grenada
26.Gambia
27.Guinea
28.Georgia(miezi 3 bila visa)
29.Haiti(miezi 3 bila visa)
30.Hongkong
31.Jamaica
32.Jordan
33.Kenya
34.Kosovo
35.Laos
36.Lebanon
37.Lesotho
38.Libya*
39.Liberia
40.Makau
41.Montserrat(miezi 3 bila visa)
42.Saint Lucia
43.Zimbabwe(miezi 3 bila visa)
44.Zambia(miezi 3 bila visa)
45.Uganda(miezi 3 bila visa)
46.Swaziland
47.South Africa
48.Rwanda
49.Namibia
50.Mozambique
51.Mauritius
52.Mali
53.Malawi
54.Madagasca
55.Guinea Bissau
56.D.R.C(siku 7)
57.Phillipines(siku 30 mpaka 59)
58.Tuvalu
59.Samoa(siku 60)
60.Niue-nchi za Oceania
61.Micronesia
62.Indonesia


Nafikiri kigezo kikuu cha Watanzania kuheshimika ni TABIA yao hawana ULOWEZI sana na UTAPELI TAPELI. Jirani zetu wanaruhusiwa kuingia nchi chache sana.
Tanzania Hoyee!!
Asante mkuu
 
Ingekuwepo USA kwenye list, ningekwea pipa sasa hv.


Asante mleta uzi, hii taarifa imenipa afya.
 
Passport nyingi zinaizidi ya Marekani, Singapore, Germany, Sweden zote unaenda nchi nyingi zaidi bila visa au visa on arrival.
nadhani ya seychelles ndio ipo ktk tatu bora na inayo ongoza ni ya singapore...
 
Watu wa wizara ya mambo ya nje nafikiri wangetolea ufafanuzi zaidi jambo hili ili kuwasaidia watanzania wengi zaidi wasiogope mitandao ya kijamii
Nimesoma bado kuna mambo yanachanganya sana kuhusu visa.
 
mkuu vingi ni visiwa... sasa wasi wasi wangu kuna maeneo una weza enda ukawa ngozi nyeusi ni wewe pekee... na udogo wa sehemu una kuwa kama alama kwa watu, ina weza pelekea ukawa kivutio cha utalii....
Sitaki kutaja nchi ila kuna nchi moja hakuna wanyama mzungu akasema nataka nianzishe zoo ya nyani weusi ila huku hakuna nyani akapata waafrika wawili akawaambia naanzisha zoo ya nyani tupige hela nitawavalisha vinyago kama vya kimakonde watu walipie kuona kwa kiingilio kazi yenu kururuka kama nyani ruksa kunywa chochote ili mpate steam sababu masaa nane kuruka ruka kama nyani si mchezo .wakakubali.siku ya kwanza hakuna aliyekunywa chochote watalii wajaa kama nini hadi usiku kuona nyani zoo.Wakalala wamechoka hoi.Asubuhi kuamka hawana nguvu wakaomba wapewe viroba kuamsha steam.wakaanza kuruka ruka na kujifanya kupigana kufurahisha watalii wazungu sasa badala ya Ku act kupigana mmoja akawa viroba vimemkolea akamtandika kichwa mwenzie cha uhakika akapanda hasira akasema kiingereza yaani hamisi unanipiga hivi akavua kinyago akaanza kumpiga mingumi ya uhakika the so called nyani mwingine na yule naye akavua kinyago ligi ya ngumi ikaaanza.Watalii wakaenda mshtaki zoo owner kwa utapelii na zoo ikafungwa na fidia juu.Sasa wewe unataka kuwa kivutio cha utalii kivipi unataka kuwa ngedere au nyani?
 
Back
Top Bottom