Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Tatizo kwenda...na naskia mpaka uwe na dollar, kuanzia hapo ndo noma zaidi
 
INATEGEMEA. Ukiwa na VISA Card ya Benki yako uunawezakuionyesha. Maana kuwa pia na hela nyingi CASH itakuletea shida ama tatizo nchi zingine.
Visa Card, ama Card zingine ambazo unaeweza kutolea pesa kwa ATM za huko itakuwa ni vizuri zaidi,
Hope BENKI KUU kuu wataliangalia jambo hili. Ili kila aliye na AKAUTI NZURI katika Benki apewe Visa Cardambayo hata akiwa NJE ya nchi ANAWEZA KUITUMIA kutoahela kwenye ATM. Kwani hela yetu hainadhamani kiasigani? Ni Juhudi tu zifanywe si tu kwa watu walio na DOLLAR ACCOUNT pekee ya ndo wanapewa International Visa Card. Si haki.
 
Ukiondoa S.Africa,Macau,Botswana,Namibia,Mauritius,Hongkong,zingine karibu zote zimechoka
Mkuu si kweli. Umeona na unaijua nchi ya SINGAPORE? Ni nchi ya ulimwengu wa Kwanza.
Nitakushangaa sana ukisema nayo imechoka basi jifahamishe kidogo tu mkuu. Utaelewa ni nini ninachokizungumzia.
 
grease bado haijafunction
Mkuu kwani bado vyuma vimekaza?
Naona kuna ulaini sasa. Tembea ujionee bhana. Usibaki Bongo tu na kubakikuendelea kunywa kahawa tungu . Hahahahhaaaa!!!!!!
 
INATEGEMEA. Ukiwa na VISA Card ya Benki yako uunawezakuionyesha. Maana kuwa pia na hela nyingi CASH itakuletea shida ama tatizo nchi zingine.
Visa Card, ama Card zingine ambazo unaeweza kutolea pesa kwa ATM za huko itakuwa ni vizuri zaidi,
Hope BENKI KUU kuu wataliangalia jambo hili. Ili kila aliye na AKAUTI NZURI katika Benki apewe Visa Cardambayo hata akiwa NJE ya nchi ANAWEZA KUITUMIA kutoahela kwenye ATM. Kwani hela yetu hainadhamani kiasigani? Ni Juhudi tu zifanywe si tu kwa watu walio na DOLLAR ACCOUNT pekee ya ndo wanapewa International Visa Card. Si haki.
Ahsante kwa kunielewa.
 
Back
Top Bottom