Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 9,457
- 10,819
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nataka visa ya bank of Tanzania nkatembee nione hela
namaanisha kuwa katik kwenda kwenda tujaribu kuangali nchi zenye watu weusi maana una weza enda wewe ndio mweusi pekee ikawa tabu kidogo... ukabaguliwa ukawa una oneshwa vidole nk...Sitaki kutaja nchi ila kuna nchi moja hakuna wanyama mzungu akasema nataka nianzishe zoo ya nyani weusi ila huku hakuna nyani akapata waafrika wawili akawaambia naanzisha zoo ya nyani tupige hela nitawavalisha vinyago kama vya kimakonde watu walipie kuona kwa kiingilio kazi yenu kururuka kama nyani ruksa kunywa chochote ili mpate steam sababu masaa nane kuruka ruka kama nyani si mchezo .wakakubali.siku ya kwanza hakuna aliyekunywa chochote watalii wajaa kama nini hadi usiku kuona nyani zoo.Wakalala wamechoka hoi.Asubuhi kuamka hawana nguvu wakaomba wapewe viroba kuamsha steam.wakaanza kuruka ruka na kujifanya kupigana kufurahisha watalii wazungu sasa badala ya Ku act kupigana mmoja akawa viroba vimemkolea akamtandika kichwa mwenzie cha uhakika akapanda hasira akasema kiingereza yaani hamisi unanipiga hivi akavua kinyago akaanza kumpiga mingumi ya uhakika the so called nyani mwingine na yule naye akavua kinyago ligi ya ngumi ikaaanza.Watalii wakaenda mshtaki zoo owner kwa utapelii na zoo ikafungwa na fidia juu.Sasa wewe unataka kuwa kivutio cha utalii kivipi unataka kuwa ngedere au nyani?
ukipita hapa nchi yetu tuna visit mataifa 65 na sio 70s ya wikipedia...
Nenda Madras ukajipatie mrembo wa kihindi mkuukuu kwenye kuoa india itapendeza
Hahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] unaweza kuzuiliwa usitoke ili kuvutia utalii wa ndani[emoji3]. Duuumkuu vingi ni visiwa... sasa wasi wasi wangu kuna maeneo una weza enda ukawa ngozi nyeusi ni wewe pekee... na udogo wa sehemu una kuwa kama alama kwa watu, ina weza pelekea ukawa kivutio cha utalii....
liisoma hiyo Tuvalu (nadhani ni kama Kata hapa kwetu ila inavutia).Nafikiri turudi kujifunza ama kusoma RAMANI ya dunia. Unaonaje?
Maana nchi nyingine ni kama wengi hawajazisikia.
Hahahah..... hcho kijiji kipo wap mkuu....ibutamisuzi..[emoji23][emoji23]Mnh nchi zingine ni kama kijiji tu
Mfano British virgin island watu 28000(elfu ishirini na nane) hii si inaweza kulingana na kijiji cha ibutamisuzi?
hakikaHahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] unaweza kuzuiliwa usitoke ili kuvutia utalii wa ndani[emoji3]. Duuu
Kinachokupeleka nchi za watu nini kutafuta riziki au unaenda kama mwanaharakati wa kupinga ubaguzi wa rangi kwenye nchi yao?namaanisha kuwa katik kwenda kwenda tujaribu kuangali nchi zenye watu weusi maana una weza enda wewe ndio mweusi pekee ikawa tabu kidogo... ukabaguliwa ukawa una oneshwa vidole nk...
Tatizo sisi waafrica ushamba unatusumbua,tunadhani kila mzungu ni mjanja wengine ******* tu hasa ukikutana na mzungu ambaye shule ni magumashi huwa ni ******* fresh hamna kitu.Usinivunje mbavu. I like that kind of an answer na maelezo rahisikama mtu anataka kuelewa,
Watu wengine wanahitaji elimu ya ziada humu ndani hahahahahhaaaaaaa!
Hahah.amini usiamini mzee,dunia imebeba mengi.Mmhh, passport tena??
Ahsante pia. Maana duniani hamna mtu anyeweza kujivuna na kusema anajua kila kitu na kila jambo,shige2 ,
Asante mkuu.
Lakini ni vizuri ujue pia kwamba hata katika jamii ama ndugu. HAMUWEZI kufanana,h
kuheshimika ilikuwa zamani sasa mapunda mengi na matapeli wa kimataifa wanatoka kwenye hii nchi ya kijamaa ya zamani.wote tumekuwa balaa.AFRICA KUSINI KWA KUUZA SEMBE NDIO WENYEWE NA VIBAKA PIA
Nchi nyingi zinahitaji Watanzania.Safi sana, hapo ukitaka kwenda unachagua kwenye list tu kisha unajipa tuisheni kujua nchi kiundani, kuanzia lugha, desturi, aina na biashara zilizopo huko, accommodation etc
Duh! Unakuwaga na short and candid/uwazi uliojaa humour/utani vilelakini pointi inaingia. Kudos.Nenda sehemu za majimbo ya wakristo na waislamu utaoa au kuolewa bila shida ila uwe na maisha sababu wahindi family bond ni kubwa kuliko watanzania wako kama wasukuma au wanyamwezi ndugu kujaa nyumbani kibao wakilala hata koridoni kawaida ukioa au kuolewa baba,babu,shangazi,mjomba nk kama hawana uwezo kimaisha ujiandae kulea na kuishi nao ila wana heshima na adabu sana tena sana kwa MTU anayewalea na kuwatunza unaweza kupotelea India kwa jinsi unavyoenziwa kama mfalme.Mzungu akiwa Tanzania anavyoenziwa ndivyo mswahili anavyoenziwa maeneo ya wakristo na waislamu India huwezi amini.Cha msingi hata ukiwa chizi Tanzania ukifika kule uwe msitaarabu usiongee kama umemeza CD na ujuaji mwingi be calm mwenye heshima na adabu na MTU wa ibada na mjali familia na ndugu wa huyo unayetaka kuoa au kuolewa naye.Na usiwe na papara za ukware .wahindi wa maeneo hayo sio wakware.Ushap shap wa ukware mwisho dar usipeleke maeneo hayo niliyoyataja.huwapenda watu wastaarabu .
Penye nia pana njia, Nimekuelewa sana.Hata hivyo RISK takers mara nyingi ndo HUFANIKIWAhii nchi mgeni haruhusiwi kufanya kazi na masharti ya kazi ni kampuni au taasisi husika iende kukuombea au iwasilishe taarifa zako... lakini hawaruhusu kwenda na kutafuta kazi, wao wanataka kabla haujaenda ndipo uwe una work permit