Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,701
- 2,613
Passport nyingi zinaizidi ya Marekani, Singapore, Germany, Sweden zote unaenda nchi nyingi zaidi bila visa au visa on arrival.Passport ya Marekani ndo inanguvu zaidi na wanaingia free nchi mia na zaidi,vipi na wao wamepewa kwa vigezo kama vya tanzania?