Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Ni

liisoma hiyo Tuvalu (nadhani ni kama Kata hapa kwetu ila inavutia).
Udogo wa nchi ndo URAHISI wa kuwahudumia watu
Mfano mtu akiwa na watoto wengi sana mfano, watoto 10.Gharama za kuwalisha na kuwatunza zitakuwako juu sana.
 
Tatizo sisi waafrica ushamba unatusumbua,tunadhani kila mzungu ni mjanja wengine ******* tu hasa ukikutana na mzungu ambaye shule ni magumashi huwa ni ******* fresh hamna kitu.
Nakubaliana nawe 100%. Wengine hata vyuo hakumaliza.UZURI wao nafasi za kazio ni nyingi na zinalipa. IlaElimu anaweza kuwa hana.
 
Nitafute nauli nijiendee Barbados, Djibouti, Cape Verde na Bolivia nikajitafunie watoto wazuri wazuri, Asante mkuu kwa taarifa.
 
Mkuu. Jaribu kunisaidia kufanya uatafiti kupitia mtandao mahali utakapokwwama nitakuasaidia. Lakini nawefanya jambo.
Mimi ni muimini sana wa mitandaok,lakini sijawahi kusika nchi inawaataka Watanzania!!
 
Kuingia bila visa upotoshaji. visa on arrival ndio sahihi.
 
Nakubaliana nawe 100%. Wengine hata vyuo hakumaliza.UZURI wao nafasi za kazio ni nyingi na zinalipa. IlaElimu anaweza kuwa hana.
Nimefanya kazi na wazungu wa kutoka,Australia, UK na hawa wa kutoka kwa Mandela,wazungu wanakuja kwenye project mbalimbali Africa hata hapa kwetu TZ lakini unashangaa mzungu hajui kitu,wewe aliyekukuta huku unakuwa mwalimu wa kumfundisha kila kitu,wengine hata kujiamini hawajiamini waoga tu kama sisi,wao pia ukikuta shule hana majungu mtindo mmoja kama waswahili tu wivu mwingi sana hasa akiona una shule hafu madude yanapanda,wengi wao wanajitukuza kwa ajili ya ngozi yao na kuamini kwamba huku Africa sisi wote ni wachinga,ila ukiwa na shule hafu madude yanapanda siyo mbabaishaji unajiamini kwa kazi zako na kazi zako ni safi,lazima akuongope na kukuheshimu sana.
 
Back
Top Bottom