ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Hao raia 1,611 nikichukua mbinu za sisiemu1' Niue ni Kisiwa nkidogo sana chenye utajiri mwingi.
2. Idadi ya raia wake ni 1,611
[2011} ama sasaimeongezeka kidogo.
3. Ni nchi pekee ISILIO DENI FREE duniani yaani DEBT FREE.
4. Utalii na madini ni moja ya nguzozake za kuiuchumi.
5.SI MWANANCHAMA wa Umoja wa MATAIFA.
Ukitaka kufika huko Ubalozi wa NewZealand unaweza kuwa msaada katika kupata more infor.
si naweza kuwa raisi wao mkuu wachache
mno hao