Nawezaje kubadilika?

Nawezaje kubadilika?

Jamani bado upo nije, karibu sana babu.
Halafu babu naona uzi huu umekimbiwa selfish person nimejikuta pekee yangu wengine wote watoaji. Mniombee nibadilike kwa kweli.


Nipo hata sasa. Njoo tuweke order mapema tukatafune migebuka.
 
wala usiache hiyo hali bibie ,,,,,,, mimi mama yangu alikuwa hivyo kabisaa , japo sisi watoto tulikuwa tunakasirika sana na kununa kwani hali hiyo ilikuwa inatuathiri mpaka sisi watoto wake kwa kutupa shida wakati uwezo upo.......... ilienda taratibu tukaanza kumuondoa kwenye hiyo roho ya kusaidi mpaka sasa hivi tunajuutaa kwanini tusingeendelea kumsapoti kwa hiyo tabia yake.

kwani sasa huyo mama yako amekuwaje mkuu? amekuwa kauzu kupitiliza (in terms ya kutoa misaada)?
 
Jitahidi walau uweke kaukatili kidooogo tu;
Hata kama haujazaliwa nao lakini jaribu tu kuapply.

Mara zote watu wa hivyo huwa hatufanikiwi sana kimaisha;
Nimejifunza sana kutokana na hilo.
 
Bora wewe charminglady weakness yako ina unafuu, muulize Dinazarde sasa weakness yake, yani sasa ivi hana shoga wote wamemkimbia kwa umbea, kashachambwa sana mtoto wa watu na vigodoro juu lakini wapi, binamu sio wa kumwamini yani ya siri anatoa na ya bayana anaficha

Pole sana, kila mtu ana mapungufu yake

binamu nimefarijika kukuona huku, usiwe unapotea jukwaa hili.
 
Last edited by a moderator:
Nitashukuru, ila sijui kama ntafuzu manake nahisi hii tabia nimerithi...
Bi mkubwa ana roho nzuri sanaa, lakini Mzee alikuwa gaidi kupita maelezo...sijui kwa nini sijarithi kwa mzee...
So itakuwa nimerithi kwa bi mkubwa....

Possibly umerithi hio trait toka kwa bi mkubwa. Umeona eeh?
 
hata mimi hali hii inanipa shida. kuna wakati mwingine nasema siwatafuti hata kwenye simu lakini nashindwa kujizuia. Iweje mimi ninawajari washikaji/mashostito lakini wananikumbuka sana wakiwa katika shida!!

siku moja nilikutana na usemi huu ambao hunitia guvu kila wakati " when people remember you only when they are in need, don't bother because you are like a candle that comes in their mind when there is darkness."

Tuendelee tu kutenda mema rafiki @ Charminglady

huu usemi wako wa kimombo nimeupenda xana mkuu.
 
I guess asili yangu si siri. Lol
Wewe bwana ungenistua ili nikuchune kidogo, ila kwenye guessing yako Kuhusu "mnyamwezi aliyejaliwa" nahisi umekosea. But again it depends na kujaaliwa nini, kama ni ufupi kweli nimejaaliwa. Si eti The Boss.

Uchoyo ndo wenyewe kwa mke...only ndugu wa mume usizidishe...usije kukuta talaka yako imeshaidhinishwa na ukoo..lol
 
Last edited by a moderator:
Hyo ni nature huwez kuibadili ..chamsingi sasa angalia sana scale of preference haitakuwa na maana unaacha kaz ya maana kwenda kumsaidia mshikaj ambae unajua outcomes ni (-) fanya kumsaidia mtu km option na sio core
 
Jitahidi walau uweke kaukatili kidooogo tu;
Hata kama haujazaliwa nao lakini jaribu tu kuapply.

Mara zote watu wa hivyo huwa hatufanikiwi sana kimaisha;
Nimejifunza sana kutokana na hilo.

Mamndenyi hapa umeongea kapoint maana na mimi nimekuwa na hii tabia sana lakini naona kama na-step back vile.

Ebu nianze kuaply ushauri wako aisee, i hope sijachelewa
 
Last edited by a moderator:
yani wewe ndio ungekuwa mahabuba wangu yani ninge enjoy sana, ila kutoa ni baraka, penda kutoa kuliko kupokea.
 
Umenikumbusha namdai mpwa wako Heaven on Earth elfu hamsini....msaidie kulipa

kama mpwa akithibitisha deni hili namlipia on the spot, lakini siamini kama umemaanisha.

wewe ni good friend of my Lara 1 sidhani kama vihela kama hivi ni shida kwako, my Lara 1 anakuheshimu sana kwahiyo na wewe muheshimu mpwa wangu hoe, ukoo umeshakuwa mkubwa.
 
Last edited by a moderator:
kama mpwa akithibitisha deni hili namlipia on the spot, lakini siamini kama umemaanisha.

wewe ni good friend of my Lara 1 sidhani kama vihela kama hivi ni shida kwako, my Lara 1 anakuheshimu sana kwahiyo na wewe muheshimu mpwa wangu hoe, ukoo umeshakuwa mkubwa.

Done..nikitaka nimsamehe mbele yako ili nikujibu lile Swali la kusamehewa vocha...done..nishasamehe..
 
We kweli bandidu elfu 20 miezi mitatu hujasahau?

Siwezi kusahau aisee...

Maana aliniambie "nikope mara moja kuna mtu hapo nje nataka nimtoe"

Heri angesema hana nitoe ila sio kwa gia ya kukopeshwa
 
Siwezi kusahau aisee...

Maana aliniambie "nikope mara moja kuna mtu hapo nje nataka nimtoe"

Heri angesema hana nitoe ila sio kwa gia ya kukopeshwa

Na,siku hizi mtu anaweza kukubambikia utasikia..'tigo pesa yako ina hela kidogo'? Ukijifanya msamaria tu ushaliwa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom