CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
- Thread starter
- #201
heee, kumbe tupo wengi? nilidhani ni mimi mwenyewe...afadhali sasa nimefarajika kwa kuwa nilidhani niko peke yangu.
hahahaha! ngoja nicheke kwanza.....
naomba nikuswalike swali CL: Je, huwa wewe ni mwepesi wa kutoa vitu tu au huo udhaifu wako upo hata kutoa papuchi? please reply.
Mkuu nahisi unahitaji jibu ya NDIO basi ngoja nikujibu NDIO ili uridhike....