Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,501
Nikupe bure hata si kukuuzia. Yaani being a last baby sijui ndio imeongeza maana siku zote l expect people to do things for me. Na kupokea naona kama nawapa favor vile, l am learning to give. Mf: juzi tu ndio nimemnunulia zawadi kaka yangu tangia nizaliwe. Sikopeshi mtu zaidi ya laki 2; labda ndugu wa kuzaliwa nawe. Mwanaume ndio anaumia, hata nikiwa na mil 10 bank ila wajibu wake wa kunitoa out uko pale hata kama ana laki 2 tu bank.Mimi naomba uniuzie kiduchu Kaunga!
Nastruggle kuinvoke the African hospitality kama inavyoelezewa na Beatus Katululu ktk kitabu chake The spirituality of hospitality: African and New Testimony perspectives.
Last edited by a moderator: