tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 25,832
- 25,138
Mimi mzima mpenzi.
Suala la afya au life n death situation yaani sijiulizagi. Maana dhamira will take me to grave. Tena hapo hata sikopeshi, natoa my all. Ila other developmental au vitu vya starehe kiukweli inategemea na mtu na amount.
Mfano ua garagaza harusi na sherehe sichangii. Misiba nachangia coz huwezi plan before hand Kuhusu mazishi. Elimu nachangia coz ni more sustainable lkn vingine no thanks.
Na kumkopesha mtu simkopeshi ili anichukie kwa muda kuliko kumkopesha halafu akukwepe daima ktk kudaiana.
mkuu, kama hata harusi huchangii, jiandae kuchukiwa na kila mtu. tena bora uchukiwe hivo hivo, kwani harusi zina faida gani kwa jamii? unakuta mtu anatengeneza kadi za 20,000 halafu anategemea raia ndio wazigharamie. upuuzi mtupu!!!!