CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
- Thread starter
- #21
soma alama za nyakati au ukishindwa fungua kampuni ya kusaidia umma 😛
Ntajitahidi mkuu...
soma alama za nyakati au ukishindwa fungua kampuni ya kusaidia umma 😛
Usibadili tabia...badili watu wa kuwaweka Karibu...tafuta unaofanana nao
Ndivyo binadamu
tunavyopaswa kuwa. Na ndivyo maandiko ya dini yanavyotaka, giving what
you cherish the most without expecting anything in return.
Sikushauri ubadilike, na l wish ungeniambukiza hiyo roho ningefurahi
sana. Maana I am struggling to punguza uselfish.
asa tunawabadili vip mbona mwanzon wanakuwa wema tyu afu mwishoni wanabadilika au ndio kuzoeana sanaUsibadili tabia...badili watu wa kuwaweka Karibu...tafuta unaofanana nao
Yani kwangu ni kama vile huo msemo haupo...wakati nipo chuo nlikuwa nagawa bum looote, kiasi kwamba sijui wiki itayofuatia nakula nini....
Mtu akiumwa hostel nitauguza kama me ndo nesi wa zamu, tena kwa gharama zangu...
Sasa ngoja majanga yanifike....simuoni shosti wala ndugu.....! Yani mpaka nabaki nalia tu....!
Mkuu umenifanya nicheke sana!! Dah...
Utawatoa wapi mkuu?
Binafsi ilibidi nijaribu kubadilika ila ni ngumu sana. Yaana inakuwa kama watu wanatake advantage. Best friends zako hawawezi kukutafuta au kukusaidia. Ila wakipata shida kidogo tu, hao wanakutafuta utadhani wewe ndiye mkombozi pekee uliyebaki.
I had to leave most of them na sasa nimezoea kukaa hata mwaka bila kuwatafuta kwenye simu. Ila bado wakija na matatizo yao wakati mwingine naingia mkenge! Yakishaisha tunarudi kule kule!
Na jambo gumu kudeal nalo!
Hiyo ni karama umepewa na mwenyezi Mungu. Usibadilike saidia ila jiwekee kiwango cha kusaidia