Sawa mkuu nimekuelewa ko hapo kikubwa ni kuwahiUkifika tu Nenda ofisi ya Director of undergraduate studies Pale utawala Floor ya Kwanza kama sijakosea watakupa utaratibu kamili na kuna Kiasi utalipia
Miaka ile Tulitumia Barua tu na unapewa Account number unalipa na form utajaza na sababu zako kwann unataka kuhama unasubiria majibu ndani ya siku 3 hadi 4 yanatoka unaanza usajili sema kwasasa mambo yamekuwa mfumo sana ila wajuzi wapo watakupa Maarifa report mapema tu uongozi wa serikali ya wanafunzi watakupa Mwanza au unaweza hamia Bachelor of Education in special need nayo sio mbaya pia mkuu ila ipo huko Koedi
Sasa si Bora asome baed kuliko hiyo aliyo haguliwa Bora akalime TU nb kuhama asaivi ni mfumo kupitia hiyo hiyo akaunt Yako ya udom oas kinakipengele cha kuhama utalipia sh elfu hamsini keshi kupitia control number utakayoipata kwenye mfumoUnataka kusoma Baed miaka hii kweli