Ni kweli kuna tatizo katika mfumo wa Kadi za Bima ya Afya ya NHIF? Tunashindwa kupata huduma na kulazimika kulipia kwa pesa tasilimu

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,052
24,442
Hatimae leo yamenifika kwakweli!

Nimefika hospital moja ya binafsi baada ya kujisikia sivyo ndivyo huku nikisumbuliwa na maumivu ya kifua na homa ambayo iliniibukia ghafla nikiwa katika shughuli zangu za kila siku.

Cha kushangaza baada ya kuikabidhi bima yangu kwa mtoa huruma alinijulisha kuwa mtandao wa bima inasumbua, pia akaongeza kwa kusema bima nyingi za NHIF zimefungiwa, hivyo kama nahitaji matibabu nitapaswa kuiacha kadi akae nayo kwa siku zisizojulikana (maana kaniambia kwa leo sitoweza kuichukua) ama nilipie huduma nibaki na kadi yangu!

Baada ya maongezi ya muda kiasi na yule mtoa huduma, niliamua kuondoka kwenda hospital nyingine, nako pia walitoa majibu yanayoashiria sitoweza kupata huduma kwa kadi ya NHIF, hivyo kwa kuwa nilikuwa najiona nabanwa zaidi, ilibidi nikubali kupata huduma kwa cash, ambapo nilitumia zaidi ya 100k ambayo kiukweli kama ningekuwa sina akiba nisingeweza kupata Ile huduma!

Nimeshuhudia pia wagonjwa wengine waliofika na bima zao katika hospital zote nilizoenda na wakaishia kujililia, wengine kuondoka na wengine kuhaha kupiga simu kwa ndugu/marafiki kuwakopa ili wapate huduma kwa wakati!

Kiukweli hili jambo linaumizi hasa hawa wananchi wa kawaida, watoto na wale waliokatiwa bima na ndugu zao n.k.

Serikali itoe taarifa kama kweli hizi Bima za Afya za NHIF zimezuiwa, lakini ieleze kama kweli mtandao wa bima unasumbua kiasi kwamba ni lazima mgonjwa aiache bima kwa watoa huduma kwa siku kadhaa hadi tatizo litakapoisha!

Lakini pia kama kuna mchezo unafanywa na hizi hospital ili wagonjwa watibiwe kwa cash angali wanabima, serikali ichukue hatua kali Kwa hizi hospital na vituo vya afya vinavyofanya huu mchezo!

Hili tatizo ambalo wananchi wanaumia chanzo kikuu ni serikali, isikwepe hili.
 
Hatimae leo yamenifika kwakweli!

Nimefika hospital Moja ya binafsi baada ya kujisikia sivyo ndivyo huku nikisumbuliwa na maumivu ya kifua na homa ambayo iliniibukia ghafla nikiwa katika shughuli zangu za kila siku!

Cha kushangaza baada ya kuikabidhi bima yangu Kwa mtoa huruma alinijulisha kuwa mtandao wa bima inasumbua, pia akaongeza Kwa kusema bima nyingi za NHIF zimefungiwa, hivyo Kama nahitaji matibabu nitapaswa kuiacha kadi akae nayo Kwa siku zisizojulikana(maana kaniambia Kwa Leo sitoweza kuichukua) ama nilipie huduma nibaki na kadi yangu!

Baada ya maongezi ya muda kiasi na yule mtoa huduma , niliamua kuondoka kwenda hospital nyingine, nako pia walitoa majibu yanayoashiria sitoweza kupata huduma Kwa kadi ya NHIF, hivyo Kwa kuwa nilikuwa najiona nabanwa zaidi, ilibidi nikubali kupata huduma Kwa cash, ambapo nilitumia zaidi ya 100k ambayo kiukweli Kama ningekuwa Sina akiba nisingeweza kupata Ile huduma!

Nimeshuhudia pia wagonjwa wengine waliofika na bima zao katika hospital zote nilizoenda na wakaishia kujililia, wengine kuondoka na wengine kuhaha kupiga simu Kwa ndugu/marafiki kuwakopa Ili wapate huduma Kwa wakati!

Kiukweli hili jambo linaumizi hasa Hawa wananchi wa kawaida, watoto na wale waliokatiwa bima na ndugu zao n.k.

Serikali itoe taarifa Kama kweli hizi bima za afya za NHIF zimezuiwa, lakini ieleze Kama kweli mtandao wa bima unasumbua kiasi kwamba ni lazima mgonjwa aiache bima Kwa watoa huduma Kwa siku kadhaa Hadi tatizo litakapoisha!

Lakini pia Kama Kuna mchezo unafanywa na hizi hospital Ili wagonjwa watibiwe Kwa cash angali wanabima, serikali ichukue hatua Kali Kwa hizi hospital na vituo vya afya vinavyofanya huu mchezo!

Jiongeze mkuu, kilichobaki ni blah blah.
Hospitali binafsi hawawezi kukubali NHIF kwasasa, maslahi yao yameguswa pakubwa.

Hata hospitali za serikali, ni muhimu kujipanga maana kuna kuongeza cha juu ikitokea baadhi ya huduma na dawa hazipo kwenye orodha ya NHIF.

Jana nimetoka kufanya Toping Up ya gharama kwenye hospitali kubwa ya serikali kwa mgonjwa wangu.
 
Hatimae leo yamenifika kwakweli!

Nimefika hospital Moja ya binafsi baada ya kujisikia sivyo ndivyo huku nikisumbuliwa na maumivu ya kifua na homa ambayo iliniibukia ghafla nikiwa katika shughuli zangu za kila siku!

Cha kushangaza baada ya kuikabidhi bima yangu Kwa mtoa huruma alinijulisha kuwa mtandao wa bima inasumbua, pia akaongeza Kwa kusema bima nyingi za NHIF zimefungiwa, hivyo Kama nahitaji matibabu nitapaswa kuiacha kadi akae nayo Kwa siku zisizojulikana(maana kaniambia Kwa Leo sitoweza kuichukua) ama nilipie huduma nibaki na kadi yangu!

Baada ya maongezi ya muda kiasi na yule mtoa huduma , niliamua kuondoka kwenda hospital nyingine, nako pia walitoa majibu yanayoashiria sitoweza kupata huduma Kwa kadi ya NHIF, hivyo Kwa kuwa nilikuwa najiona nabanwa zaidi, ilibidi nikubali kupata huduma Kwa cash, ambapo nilitumia zaidi ya 100k ambayo kiukweli Kama ningekuwa Sina akiba nisingeweza kupata Ile huduma!

Nimeshuhudia pia wagonjwa wengine waliofika na bima zao katika hospital zote nilizoenda na wakaishia kujililia, wengine kuondoka na wengine kuhaha kupiga simu Kwa ndugu/marafiki kuwakopa Ili wapate huduma Kwa wakati!

Kiukweli hili jambo linaumizi hasa Hawa wananchi wa kawaida, watoto na wale waliokatiwa bima na ndugu zao n.k.

Serikali itoe taarifa Kama kweli hizi bima za afya za NHIF zimezuiwa, lakini ieleze Kama kweli mtandao wa bima unasumbua kiasi kwamba ni lazima mgonjwa aiache bima Kwa watoa huduma Kwa siku kadhaa Hadi tatizo litakapoisha!

Lakini pia Kama Kuna mchezo unafanywa na hizi hospital Ili wagonjwa watibiwe Kwa cash angali wanabima, serikali ichukue hatua Kali Kwa hizi hospital na vituo vya afya vinavyofanya huu mchezo!
Hili tatizo ambalo wananchi wanaumia chanzo kikuu ni serikali, isikwepe hili.
Sasa hio bima yenyewe ambayo kwa utaratibu wa sasa ni kama inalipia wewe kufungua file na kumuona daktari halafu baada ya hizo hatua utajijua mwenyewe ni kitu cha kulilia.

You better not have subscribed it at all. Dawa zote za bei ghali zimefutwa zimebaki panadol na flagyll tu 😂😂😂 sasa hio ni bima ya afya au bima ya kifo?
 
Hatimae leo yamenifika kwakweli!

Nimefika hospital Moja ya binafsi baada ya kujisikia sivyo ndivyo huku nikisumbuliwa na maumivu ya kifua na homa ambayo iliniibukia ghafla nikiwa katika shughuli zangu za kila siku!

Cha kushangaza baada ya kuikabidhi bima yangu Kwa mtoa huruma alinijulisha kuwa mtandao wa bima inasumbua, pia akaongeza Kwa kusema bima nyingi za NHIF zimefungiwa, hivyo Kama nahitaji matibabu nitapaswa kuiacha kadi akae nayo Kwa siku zisizojulikana(maana kaniambia Kwa Leo sitoweza kuichukua) ama nilipie huduma nibaki na kadi yangu!

Baada ya maongezi ya muda kiasi na yule mtoa huduma , niliamua kuondoka kwenda hospital nyingine, nako pia walitoa majibu yanayoashiria sitoweza kupata huduma Kwa kadi ya NHIF, hivyo Kwa kuwa nilikuwa najiona nabanwa zaidi, ilibidi nikubali kupata huduma Kwa cash, ambapo nilitumia zaidi ya 100k ambayo kiukweli Kama ningekuwa Sina akiba nisingeweza kupata Ile huduma!

Nimeshuhudia pia wagonjwa wengine waliofika na bima zao katika hospital zote nilizoenda na wakaishia kujililia, wengine kuondoka na wengine kuhaha kupiga simu Kwa ndugu/marafiki kuwakopa Ili wapate huduma Kwa wakati!

Kiukweli hili jambo linaumizi hasa Hawa wananchi wa kawaida, watoto na wale waliokatiwa bima na ndugu zao n.k.

Serikali itoe taarifa Kama kweli hizi bima za afya za NHIF zimezuiwa, lakini ieleze Kama kweli mtandao wa bima unasumbua kiasi kwamba ni lazima mgonjwa aiache bima Kwa watoa huduma Kwa siku kadhaa Hadi tatizo litakapoisha!

Lakini pia Kama Kuna mchezo unafanywa na hizi hospital Ili wagonjwa watibiwe Kwa cash angali wanabima, serikali ichukue hatua Kali Kwa hizi hospital na vituo vya afya vinavyofanya huu mchezo!
Hili tatizo ambalo wananchi wanaumia chanzo kikuu ni serikali, isikwepe hili.
Nakuonea huruma kwa mara ya pili kama hio bima unalipishwa kupitia mshahara wako mkuu😁😁😁? Muda utafika wote mtatoka mashimoni na kuandamana juu ya utawala huu dhalimu. Kwa sasa endeleeni kuona ni jukumu la watu fulani.
 
Na wameongeza mafao ya mamilioni kwa wenza wa viongozi.
Hii nchi uzalendo hakuna ni ubinafsi tu...
Hatuwezi kuendesha chochote...vijana wote wanatamani kuingia serikalini ili nao wapige tu pesa....ni ujinga sana
 
Nakuonea huruma kwa mara ya pili kama hio bima unalipishwa kupitia mshahara wako mkuu? Muda utafika wote mtatoka mashimoni na kuandamana juu ya utawala huu dhalimu. Kwa sasa endeleeni kuona ni jukumu la watu fulani.
Mkuu, hivi wewe ulishawahi kushiriki maandamano mangapi?
 
Hatimae leo yamenifika kwakweli!

Nimefika hospital moja ya binafsi baada ya kujisikia sivyo ndivyo huku nikisumbuliwa na maumivu ya kifua na homa ambayo iliniibukia ghafla nikiwa katika shughuli zangu za kila siku.

Cha kushangaza baada ya kuikabidhi bima yangu kwa mtoa huruma alinijulisha kuwa mtandao wa bima inasumbua, pia akaongeza kwa kusema bima nyingi za NHIF zimefungiwa, hivyo kama nahitaji matibabu nitapaswa kuiacha kadi akae nayo kwa siku zisizojulikana (maana kaniambia kwa leo sitoweza kuichukua) ama nilipie huduma nibaki na kadi yangu!

Baada ya maongezi ya muda kiasi na yule mtoa huduma, niliamua kuondoka kwenda hospital nyingine, nako pia walitoa majibu yanayoashiria sitoweza kupata huduma kwa kadi ya NHIF, hivyo kwa kuwa nilikuwa najiona nabanwa zaidi, ilibidi nikubali kupata huduma kwa cash, ambapo nilitumia zaidi ya 100k ambayo kiukweli kama ningekuwa sina akiba nisingeweza kupata Ile huduma!

Nimeshuhudia pia wagonjwa wengine waliofika na bima zao katika hospital zote nilizoenda na wakaishia kujililia, wengine kuondoka na wengine kuhaha kupiga simu kwa ndugu/marafiki kuwakopa ili wapate huduma kwa wakati!

Kiukweli hili jambo linaumizi hasa hawa wananchi wa kawaida, watoto na wale waliokatiwa bima na ndugu zao n.k.

Serikali itoe taarifa kama kweli hizi Bima za Afya za NHIF zimezuiwa, lakini ieleze kama kweli mtandao wa bima unasumbua kiasi kwamba ni lazima mgonjwa aiache bima kwa watoa huduma kwa siku kadhaa hadi tatizo litakapoisha!

Lakini pia kama kuna mchezo unafanywa na hizi hospital ili wagonjwa watibiwe kwa cash angali wanabima, serikali ichukue hatua kali Kwa hizi hospital na vituo vya afya vinavyofanya huu mchezo!

Hili tatizo ambalo wananchi wanaumia chanzo kikuu ni serikali, isikwepe hili.
Yah hilo ni kweli nhif walitoa tangazo la kuhakiki bima zao so wengi ni wategemezi hivyo kuna wengi ambao taarifa hizo hawakuzipata

Ukipata mda nenda kwenye ofisi zao wakaku update kwenye system bila kusahau kitmbulisho cha taifa au no ya nida
 
Back
Top Bottom