Inachukua Muda gani kwa mwanachama Mpya Wa NHIF kupata kadi ya bima?

sokoMchizi

Member
Oct 15, 2022
48
199
Habari wakuu , Nahitaji kufahamu inachukua Muda Gani kwa Mwanachama Mpya Wa NHIF kupata Bima ya Afya Baada ya kulipia.

Na je baada ya kulipia Anaweza Pewa Namba ya Bima yake akaendelea Kuitumia Huku Akisubiri kadi ya Bima?
 
Habari wakuu , Nahitaji kufahamu inachukua Muda Gani kwa Mwanachama Mpya Wa NHIF kupata Bima ya Afya Baada ya kulipia . Na Je baada ya kulipia Anaweza Pewa Namba ya Bima yake akaendelea Kuitumia Huku Akisubiri kadi ya Bima?
Ngoja waje wajuzi
 
Ni siku 21 kwa mtumishi wa umma na siku 90 kwa mtu binafsi sijajua Kuna mabadiliko kwa walienda siku za karibuni.
 
Back
Top Bottom