Naweza Kusafiri Dar to Moshi na gari ya Vitz?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,185
Reaction score
24,565
Wajuzi wa safari za masafa ya kati na marefu nijulisheni

Naweza kusafiri na vitz new model kutoka Dar hadi moshi?

Huwa nazunguka nacho tu hapa jijini tu mizunguko ya hapa na pale Sina uzoefu wa kutembea na gari kama hii masafa marefu zaidi nilishatoka tu nayo hadi Turiani morogoro

Vipi kwa moshi Kilimanjaro naweza kusafiri na hii vitz maana December ya kuhesabiwa ndo imeingia

NB:WAJUZI TU WAKOMENT KEJELI NA DHARAU SITAKI KAMA HUWEZI SHAURI KAUSHA

MREJESHO:SAFARI ILIKUA LEO ASANTENI SANA
 
Wewe ni mchaga? Kama ndio jichunguze mara mbili mbili, hilo kabila ikifika muda wa kwenda kwao kila kitu kinazima kwenye blangata yao, iwe basi lori ya kukodi lifti au self drive wataenda tuu.

1. Engine capacity ya gari yako ni ngapi? Hii itachangia kuamua gari inaweza ikatembea kilomita ngapi bila kuzima engine.

2. Ama laah uondoke kama mtalii na uwe na vituo kadha wa kadha hadi unafika Moshi. Mfano Dar unakamua hadi Korogwe kisha unalala. Engine inapoa kesho yake unaamka na kuendesha hadi himo unalala, siku ya tatu unakiamsha hadi unakoenda bila kuhofia uwezo wa gari kwenda mwendo mrefu.

3. Kama dreva ni wewe, kiwa makini barabara inayotoka nje ya nchi sio wote madereva wengine humo barabarani ni manyonya damu, zingatia usalama wako, usalama wa chombo chako na iwapo utakuwa na abiria awe mtu baki, rafiki ama familia.

4. Msimu wa sikukuu mbwembwe huwa nyingi, fanya mambo vile mbavu zako zinahimili, usinyanyue gunia la kg 130 wakati hujawahi kubeba hata ndoo ya lita 20.

5. Tumia pesa yako kwa makini, enjoy have fun but dont forget to be wise.
Jumo to the sky and have an air snap but note where youll land your feet shouldn’t cause any injuries to your legs.

Cheers and all the best during this festive season.
 
Inawezekana sana mkuu. Ila nakushauri usiende moja kwa moja bila kuipumzisha pumzisha injini

Mashine yoyote haihitaji kupumzishwa as long as ipo kwenye Runing condition nzuri. kama kila kitu kinafanya kazi sawa unaweza itembeza hadi Km 5000 za kufanya service. Mashine sio mtu au mnyama kusema apumzike
 
442 kilometres tu? 😅😅😅
maxresdefault.jpg
 
Kuna jamaa alitoka nayo Dar mpaka kwa babu wa Loliondo na kurudi, fresh kabisa.
Mkuu ile avatar picha yako ya njiwa anaosha kichwa kwenye bomba inapendeza Irudishe japo pia hii ya miti ya mbuyu Madagascar siyo mbaya lakini ile nyingine tuliizoea na ulikaa nayo muda mrefu sana
 
Wajuzi wa safari za masafa ya kati na marefu nijulisheni

Naweza kusafiri na vitz new model kutoka Dar hadi moshi?

Huwa nazunguka nacho tu hapa jijini tu mizunguko ya hapa na pale Sina uzoefu wa kutembea na gari kama hii masafa marefu zaidi nilishatoka tu nayo hadi Turiani morogoro

Vipi kwa moshi Kilimanjaro naweza kusafiri na hii vitz maana December ya kuhesabiwa ndo imeingia

NB:WAJUZI TU WAKOMENT KEJELI NA DHARAU SITAKI KAMA HUWEZI SHAURI KAUSHA
Hata Kenya inafika mkuu, ondoa shaka
 
Ndg
Kwa usalama wako... bora uiparki (simamisha nyumbani utumie usafiri mbadala) msimu huo ni vurugu driving na kila mwendeshaji combo huwa na haraka .......magari , Malori ns mabasi mengi sana..
Kama huna uzoefu barabarani..nikuombe usidrive!!
Be safe
 
Sina hofu na uwezo wa gari hata nairobi unafika hofu yangu ni kwako uwezekano wa kupata ajali kwa kukosa uzoefu ni mkubwa sana
 
Wajuzi wa safari za masafa ya kati na marefu nijulisheni

Naweza kusafiri na vitz new model kutoka Dar hadi moshi?

Huwa nazunguka nacho tu hapa jijini tu mizunguko ya hapa na pale Sina uzoefu wa kutembea na gari kama hii masafa marefu zaidi nilishatoka tu nayo hadi Turiani morogoro

Vipi kwa moshi Kilimanjaro naweza kusafiri na hii vitz maana December ya kuhesabiwa ndo imeingia

NB:WAJUZI TU WAKOMENT KEJELI NA DHARAU SITAKI KAMA HUWEZI SHAURI KAUSHA
Wewe c ulianzisha uzi unakejeli watu wa mbagala halafu kumbe unamiliki vitz .kumbe na wewe wale wale tu
 
Back
Top Bottom