Nawaza Tu: Ukimpata mpenzi wa hivi

Nawaza Tu: Ukimpata mpenzi wa hivi

Hayaaaaa fasta taja venue and date ya kubakwaaaa. Such a gentleman.

thank you....BIG LIKE

my 'like' button imepotea for some reasons i dont know! the last time i liked someone's post was 3 weeks ago and i feel bad when someone like my post and i cant do the same to their useful post!
 
mwekundu;
listen not to karucee, she is a nut yu know. If a woman do what yu need in the name of Love that is not slavery but the woman heart.
Many of to days women have the karucee heart and that is why we end up in divorce. Where is the woman heart in them?? Blown by the wind...
Hahaaaa. Mie Karucee mie.
 
mwekundu;
listen not to karucee, she is a nut yu know. If a woman do what yu need in the name of love that is not slavery but the woman heart.
Many of to days women have the karucee heart and that is why we end up in divorce. Where is the woman heart in them?? Blown by the wind...

if you dont return the favour,its just a matter of time before she stops doing what you need either in the name of love or whatever.
 
Nikuulize wewe mwanamume unaweza kumfanyia
mwenzi wako hivyo, kama wewe unavyotaka ufanyiwe
jua usivyotaka kutendewa nawe usitende

hii nimeipenda zaidi

7. Anakupa moyo kwenye wakati mgumu (anakwambia baby hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa tu)
 
Unafanya hivyo?
 
UKIMPATA MPENZI KAMA HUYU UTAWAZA KUMSALITI KWELI BOY.

1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)

2. Unajiandaa kwenda kazini khaa, nguo zishapigwa pasi

3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu raha sana!

4. Umejipunzisha kwenye kochi au kitandani mara kakukalia Mgongoni anakufanyia masaji, unaishia kusema "thanks baby".

5. Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia.

6. Anapenda ndugu zako.

7. Anakupa moyo kwenye wakati mgumu (anakwambia baby hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa tu)

8. Anajua unataka nn na kwa wakati gani. Full kuenjoy kidume.

He heee heee, ila wanaume hatuna dogo, unaweza fanyiwa yote hayo na kesho uka malizia, ingawa siyo kila mwanaume anaweza fanya hivyo.
mkuu hujaiongelea sifa ya majambozi kitandani,huenda hiyo ndo itafanya nimsaliti!!analala kama gogo kwenye tukio,haiwezekani namsaliti aisss!
 
mie uyo ata simtakii....sijazoea mie ata kidogo...mie nataka hii hii mingarara yetu,,mara minuno mara make up sex yanii hadi raha..
sa uyo wakuwa bebiiii polee na mihangaikoo bebiii nimekuandalia maji ya kuoga...ata ukifukuzwa kazii anakuwa mpole mwee,,#bebii usihofu utapata nyinginee..khaa
 
Tuambie na nyie hua mnatufanyia nini?maana mnapenda kujipendelea tu
 
mkuu hujaiongelea sifa ya majambozi kitandani,huenda hiyo ndo itafanya nimsaliti!!analala kama gogo kwenye tukio,haiwezekani namsaliti aisss!

mkuu huwezi kumpata perfect 100% fit thts my fantasy
 
mie uyo ata simtakii....sijazoea mie ata kidogo...mie nataka hii hii mingarara yetu,,mara minuno mara make up sex yanii hadi raha..
sa uyo wakuwa bebiiii polee na mihangaikoo bebiii nimekuandalia maji ya kuoga...ata ukifukuzwa kazii anakuwa mpole mwee,,#bebii usihofu utapata nyinginee..khaa
sijakuelewa mkuu
 
Mitazamo inatofautiana jamani,

For my case mke wangu afue nguo kweli? Duuh mikono yake ile milaini iki develop sugu hiyo massage nita enjoy kweli?

Apike while najua pesa zenyewe hizi kidogo huo moshi jamani macho yale mazuri yawe mekundu kweli?!

No...

My wife has nothing to do with all those what I need from her is her heart which I am satisfied I have won and because of that I feel I am complete; all these demands are semantic. Sizihitaji kwakweli maana nikikosea ni mwepesi kusamehee nikiumia ananitiamoyo nikidhindwa ananipa another chance ya ku win. I am loved by my children because she teaches them to love me kama baba kwao. Weakness zangu anazi cover kwa strength zake.....

Well above all I feel comfortable knowing that am blessed because of her! I thank God because of her she is another me....if I cant cook I dont see why she should, if I feel tired I guess she also would be feeling the same because she does exactly what I do!

I and my wife differ in many ways but those differences compliment each other they never compete and because of this we have learnt the more we differ the more we learn each other whereby through which we are brought together and we found in this way our love growing year after year!
 
Uyo ni jambazi wa vijisenti vyako. Hiya bby kwa ajili unakikazi cha kukuingizia kipato. Ngoja upigike uone, utaachwa atamtafuta baby mwenye nazo. Jingaaaa
 
hata kama career woman hayo yanawezekana endapo tu na ww utatekeleza wajibu wako ipasavyo bila kujali kipato changu
 
Back
Top Bottom