Nimekuwa zoba la mapenzi, maumivu moyoni. Najua anatafunwa na fulani, nashindwa namna ya kumkataa

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Inauma saaana ndugu zangu. Licha ya kuwa pamoja naye katika masuala tofauti ya hapa na pale, nikimsapoti pale ninapoweza, akinisaidia kimawazo n.k Jana ndipo nilipatwa na ganzi ya mdomo baada ya kuufahamu ukweli. Licha ya kuufahamu ukweli mtupu, nimeshindwa namna ya kumkataa ama kumchana ukweli. Naumia moyo

Anaishi na dada yake lakini mara moja moja kwa wiki huwa anakuja kijana kuwaona ambaye wanadai kuwa ni kaka wa binti ninaempenda na mdogo wa binti ambaye ni dada wa binti nimpendaye

Siku ya jana ndipo nilipata ukweli kutoka kwa mashushu wanaolifahamu jiji na watu wake kwa ujumla kuwa huyo kijana ni mpenzi wa mpenzi wangu, lakini pia amewahi kumzagamua dada wa binti japo kwa usiri wa hali ya juu, si mnajua tena hakuna siri duniani?

Leo asubuhi nimemuomba simu binti ndipo kukutana na meseji za mshikaji akiwa ameseviwa kaka, mshkaji anadai mbona siku ya jana binti alimyeyusha? Ndipo binti kujitetea kuwa leo atakipeleka. Dakika chache baadae binti alikuja kuchukua simu yake kwa mshtuko mkubwa nisioneshe kama nimeona jambo lolote

Mida ya saa tatu wakati najiandaa kwenda kufungua kiduka changu, nalimshuhudia akiondoka huku akiwa kapendeza sana

Nimeshindwa kwenda kwenye biashara yangu. Mpaka sasa hivi hajarudi, sijui atalala uko uko jamani. Dah!
 
Inauma saaana ndugu zangu. Licha ya kuwa pamoja naye katika masuala tofauti ya hapa na pale, nikimsapoti pale ninapoweza, akinisaidia kimawazo n.k...
Wewe mwanamke wa pekeyako utampata wapi nyakati hizi,watu wameona na wanatoka nje sembuse wewe msichana wako tu tulia ufanye kazi
 
Hivi kumbe bado mna lilia papuchi uko duniani ..piga block kimya kimya bila hata taarifa ita kusaidia sana sema sio poa jamaa lime mwaga ndan asee
Inauma sana kaka, isitoshe mchakataji namuona kila wiki, nahisi kufakufa

Sijui huwa anamkunja sana mpenzi wangu
Inauma sana, mpenzi wangu nampenda sana jamani. Naumia moyo
 
Back
Top Bottom