The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,540
wa geita sijui mwanza mi sielewi, namaanisha wa town, wa vijijini nawajulia wapi?
Tuko, sitanii ukweli im inlove na wamasai naturally......ukimpata anaetafuta jiko but alieenda shule ata least diploma muelekeze kwangu nimsome then nifanye kweli....
queeny watu wana hasira hawataki wenzao wasifiwe kuna mtu hapo nadhani hasira aliyonayo anatamani akikutana na msukuma ampige
vijana wenzangu wa kibongo huwa hatuko tayari kabisa kupokea challenge hasira gani kwani kuna ugomvi, kwa mentality hiyo sasa nasoma jambo hapa kuwa kuna watu huwa hawako tayali kukosolewa na kupingwa....si kihivyo ndugu zanga....hebu mwacheni huyo mrembo adadavue......................twende kazi queeny!yani hasira mpaka unahisi mkono wake unaweza kutokeza kwenye keyboard ghafla ukakukaba...
Ginehe mami, mhola ahene?
mkuu tofautisha hasira na kukataa hoja......jitahidini mnapoweka post humu kupokea yote upinzani na uungwaji mkono tunachobisha baadhi yetu ni uwalakini wa methodology ya dada yangu queeny so tunachotaka ni yeye kutushawishi maana mwenye busala uhoji penye shaka na si kukubali ,mwenzangu huenda ni msukuma so unaintrest na hili au sio msukuma lakini amekushawishi hivyo anishawishi na mama kwa hoja mahususi sio stori
exactly
Ginehe mami, mhola ahene?
Sio mna care ni mabwege
Basi ni ufala
so cruel yet so true lol
Hao ndo watanzania unatoa hoja unashindwa kuitetea ,kazi ipo tanzania watafiti hamna ila tunawanasiasa na wanamahaba ,ila sina chuki nawe kadadaa usinelewe vibaya ukaninyima bure mdogo wako au hata wewe mwenyewe siku yakikushinda kwa watani wangu na shemeji zangu wasukuma.sio lazima kuamini nilichosema, elewa huo ni mtazamo wangu. kama una mtazamo tofauti poa.
habari zenu...
Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.
wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.
trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.
NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...
eti wasukuma wanamoyo wa kujali? Wewe mtoa mada umebemendwa.
Unawajua wanyantuzo wewe?endelea kukariri
Sangaraaa ni shilingi 5000/=, Mzee Lubigisa alinitumiaga mapesaaa. Isingekua Eateli mane....hiiiii ingekatwaaaa!
Tunajua kuchapa kazi.
Wavumilivu wa shida lakini hatujali sana
Wapole lakini tuna nguvu ajabu
Sio wachoyo, chakula ni cha wote........Kuna makabila mengine wakila wanajificha
Tuna miili ya kushiba na energy ya kutosha.
Mwanamke gani asiyetaka hizi sifa?