Nawapenda Wanaume Wa Kisukuma

Nawapenda Wanaume Wa Kisukuma

Pamoja na hayo yote kufanyiwa na msukuma ila ujue kuwa upo kwenye foleni, hawaridhiki kuwa na mwanamke mmoja au wawili, lazima muwe 3, 4 ,5 na kuendelea.vinginevyo wapo poa sana
 
Ahh, haya bana, sisi Wanyamwezi wa Kusini (Wadakama) ngoja tujikalie kimya.

Wasukuma mmeshapendwa, kachamkieni deal hizoo.
FirstLady1 dada yangu, anza kukusanya Mawifi kwa kaka zako wa Kisukuma. Wakizidi basi sema wewe Mnyamwezi 🙂
 
Last edited by a moderator:
Ahh, haya bana, sisi Wanyamwezi wa Kusini (Wadakama) ngoja tujikalie kimya.

Wasukuma mmeshapendwa, kachamkieni deal hizoo.
FirstLady1 dada yangu, anza kukusanya Mawifi kwa kaka zako wa Kisukuma. Wakizidi basi sema wewe Mnyamwezi 🙂

Ginehe mami, mhola ahene?
 
habari zenu...

Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.

wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.

trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.

NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...

Hamna lolote wanawake wa siku hizi mavyakula ya kizungu yamewafanya msiridhike kingono vitandani so hao shemeji zangu wa kisukuma nimeishi nao karibu miaka 11 mapenzi yao sio yakutegemea nguvu asili za kibanadamu wanamadawa yao ya kuongeza nguvu ,kukuza maungo na mengine mengi so huenda mwenzetu ni hivyo ndo vinavyokufurahisha.....acha kutuongopea hapa kuna wanaume wenye mfumo dume na wababe kwa mwanamke kama hao wa jamii za kifugaji wakiongozwa na wasukuma.....fanya utafiti dada yangu kasererngeti kapya ulikokapata kakisukuma kasikufanye ukapoteza uwezo wako wa kufikiri
 
whatever. i still like them...
 
Yap hii kwa usukumani ni kama tabia ya asili kwao...kusikia mtu anakwambia fulani ndugu yangu usishangae ukuiliza mna undugu gani akwambie baba yake mdogo alikua mwalimu mkuu wa shule aliyosoma dada....

wasukuma ni kabila kubwa na moja kati ya mambo ninayowasifu ni wengi na hawana ukabila kivile kama watu fulani ambao nilipta fika ofisi zao wameandikiwa speek kiswahili kwani muda wote wanatwanga masipota na tasipota.....ila swala la msukuma na mwanamke ni kitu ambacho nitakataa mpaka pumzi yangu ya mwisho ...maana usukumani mwanamke ni mnyonge sana nilipata shangaa kijana mmoja wa kisukuma akimwamlisha shemeji yake mtu mzima amletee maji na kumuharss sana na si mara moja kama nilivyosema mimi sio msukuma lakini naishi familia yenye mchanganyiko wasukuma na wafipa na tuko wengi pande zote mbili na wakina dada wa kisukuma wamekuwa wakisifu mahusino ya upande wa pili(fipa) dhidi ya usukuma..... na maswali kibao kwamba mahusiano ya wanaume wa kisukuma na wanawake yanaweka gap kubwa la hofu,ubabe,na unyonge na pia msukuma ni mwiko kuwa na mwanamke mmoja ndugu wa hiyo familia mwenye wake wachache ni 2 au 3 na wanasema bado muda wataongeza......so we queen usilete mauzauza hapa
 
habari zenu...

Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.

wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.

trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.

NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...
Na akipata mwanamke wa kinyamwezi ndio itakuwa vizuri zaidi mwanamme anajua kupeenda mnyamwezi kwa mapenzi naye noma
 
whatever. i still like them...

Of coz you do!!! but what u should make clear to us is that u 'r ipotent; since you have admitted to us impliedly that you can not sex without perversion(unnaturally) i.e sukuma's prefered style.
 
Hamna lolote wanawake wa siku hizi mavyakula ya kizungu yamewafanya msiridhike kingono vitandani so hao shemeji zangu wa kisukuma nimeishi nao karibu miaka 11 mapenzi yao sio yakutegemea nguvu asili za kibanadamu wanamadawa yao ya kuongeza nguvu ,kukuza maungo na mengine mengi so huenda mwenzetu ni hivyo ndo vinavyokufurahisha.....acha kutuongopea hapa kuna wanaume wenye mfumo dume na wababe kwa mwanamke kama hao wa jamii za kifugaji wakiongozwa na wasukuma.....fanya utafiti dada yangu kasererngeti kapya ulikokapata kakisukuma kasikufanye ukapoteza uwezo wako wa kufikiri

la mkosaji
 
wasukuma ni kabila kubwa na moja kati ya mambo ninayowasifu ni wengi na hawana ukabila kivile kama watu fulani ambao nilipta fika ofisi zao wameandikiwa speek kiswahili kwani muda wote wanatwanga masipota na tasipota.....ila swala la msukuma na mwanamke ni kitu ambacho nitakataa mpaka pumzi yangu ya mwisho ...maana usukumani mwanamke ni mnyonge sana nilipata shangaa kijana mmoja wa kisukuma akimwamlisha shemeji yake mtu mzima amletee maji na kumuharss sana na si mara moja kama nilivyosema mimi sio msukuma lakini naishi familia yenye mchanganyiko wasukuma na wafipa na tuko wengi pande zote mbili na wakina dada wa kisukuma wamekuwa wakisifu mahusino ya upande wa pili(fipa) dhidi ya usukuma..... na maswali kibao kwamba mahusiano ya wanaume wa kisukuma na wanawake yanaweka gap kubwa la hofu,ubabe,na unyonge na pia msukuma ni mwiko kuwa na mwanamke mmoja ndugu wa hiyo familia mwenye wake wachache ni 2 au 3 na wanasema bado muda wataongeza......so we queen usilete mauzauza hapa

hiyo ni experience yako..ya kwangu ni tofauti.
 
la mkosaji

Mkosaji sasa ni wewe unayeleta majungu badala ya hoja sikatai kupingwa lakini kama mtu timamu jenga hoja.....vinginevyo hata mwanao akijua baba au mama ni mpingaji na huwa hana hoja ni aibu ....ok! mi mkosaji jenga hoja waiting for u!!
 
Of coz you do!!! but what u should make clear to us is that u 'r ipotent; since you have admitted to us impliedly that you can not sex without perversion(unnaturally) i.e sukuma's prefered style.

what do u mean
 
hiyo ni experience yako..ya kwangu ni tofauti.

Jenga hoja basi juu ya uzowefu wako basi huenda unahoja ya msingi sasa, u have got a burden to convice me completely.sema kama wa mwanzo alikuwa mchovu au umelala na wanaume wengi wa makabila tofauti hawakuwa kama huyo ama ulikuwa mtungo nao makabila tofauti yana unakazi ya kunishawishi kama si kutushawishi....maana umeweka thread nadhani ulijiandaa kukabiliana na changamoto zote hizi,jenga hoja mdada nikuamini.......................................
 
habari zenu...

Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.

wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.

trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.

NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...
Asante sana mama.

Na upendeke zaidi huko uliko.
 
what do u mean

I mean sukuma's sexing style ,their supported sex organs, unreasonable length of time supported by traditional means which according to christianity and common law system is unlawful , am I clear to you madam!
 
Back
Top Bottom