Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,578
- 28,701
Yap ni kweli wasukumua ni watu wapole sana by nature na hawapendi makuu...Japo tabia yao ya upole hufanya watu wakawaona washamba na ku-take advantage ila ukimpata msukuma halafu ameenda shule dah mbona utapenda....
Tatizo kubwa la wasukuma ni kuishi African Family life sana yaani wanapenda sana kuendekeza udugu hata na watu wa mbali ilimradi wanakaa kijiji kimoja au wanaundugu wa kuunganisha kwa gundi, hapo hupanua wigo wa utegemezi, familia kuwa kubwa sana na mambo kama hayo ila kama ukiwza kuishi na hii challenge ni watu wzuri sana yaani utapenda.....