Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,798
- 110,011
kisukari said:mimi napenda accent zao.yale maneno
wakiyakandamiza dah hufurahi kwa kweli.ila
nasikia mwanamke akiwa mweupe mahari
huwa nyingi kuliko ukiwa mweusi.sijui kuna
ukweli wa hili?
Sangaraaa ni shilingi 5000/=, Mzee Lubigisa alinitumiaga mapesaaa. Isingekua Eateli mane....hiiiii ingekatwaaaa!