mimi napenda accent zao.yale maneno wakiyakandamiza dah hufurahi kwa kweli.ila nasikia mwanamke akiwa mweupe mahari huwa nyingi kuliko ukiwa mweusi.sijui kuna ukweli wa hili?
so cruel yet so true lol
Pia na mabwege halafu ni mashamba na ni mahongaji makubwa tu.Haina haja hata ya limbwata utayaendesha utakavyo.Si ndio raha yenu nyie mabinti.Pambav..
hata sijui maana yake itabidi nifundishwe
habari zenu...
Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.
wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.
trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.
NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...
Sasa hapa tuamini haya uliyoandika hapa au yale uliyoandika kule juu kwenye thread mama....
Kama sio Wasukuma wote, je ni asilimia ngapi iliyokufanya ufikie conclusion?
Ni kweli kabisa sisi wanaume wa pande hizo ma kea hadi balaa.
Pia na mabwege halafu ni mashamba na ni mahongaji makubwa tu.Haina haja hata ya limbwata utayaendesha utakavyo.Si ndio raha yenu nyie mabinti.Pambav..
Je kwenye hiyo research yako uliyofanya hujagundua kuwa wanaume wengi Wa kisukuma wana mbo.o kubwa?
huo ni mtazamo wangu, sio mtazamo wa watu wote...its ok if u have a different encounter with these pple.
habari zenu...
Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.
wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.
trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.
NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...
Yap ni kweli wasukumua ni watu wapole sana by nature na hawapendi makuu...Japo tabia yao ya upole hufanya watu wakawaona washamba na ku-take advantage ila ukimpata msukuma halafu ameenda shule dah mbona utapenda....
Tatizo kubwa la wasukuma ni kuishi African Family life sana yaani wanapenda sana kuendekeza udugu hata na watu wa mbali ilimradi wanakaa kijiji kimoja au wanaundugu wa kuunganisha kwa gundi, hapo hupanua wigo wa utegemezi, familia kuwa kubwa sana na mambo kama hayo ila kama ukiwza kuishi na hii challenge ni watu wzuri sana yaani utapenda.....