Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,105
- 165,329
Tena mwanamke akiwa mweupe ndo basi kabisa msukuma anachanganyikiwa....!!!
sijasema wasukuma wote wanajua kupenda na wala sijasema makabila mengine hawajui kupenda
Tena mwanamke akiwa mweupe ndo basi kabisa msukuma anachanganyikiwa....!!!
Sio mna care ni mabwege
Ni kweli sema wana mananii makubwa kama miguu yao.Tolk from experience
Ni kweli sema wana mananii makubwa kama miguu yao.Tolk from experience
Kwa hiyo mleta mada hii huenda ni "mweupe".
". . . . . .nguvu kitandani?," umejuaje amu?
Ni kweli sema wana mananii makubwa kama miguu yao.Tolk from experience
ha ha ha sijasema hivo bana!!!!!!!!!
Hakuna kama sisi warabu we tujaribu tu, we huoni wanawake wakisukuma lazima wazae na warabu ndo wanaona sifa :A S shade:
Haya....miye najaribu tu kuwaza kwa sauti, ni ming'ombe mingapi imelipwa teh! teh!
Haya amu​, heshima kwako.Mimi mwanamke ujue
Nyie watu, mbona mnanishangaza, hata wewe pia umewa experience!, I see!!!!!Ni kweli sema wana mananii makubwa kama miguu yao.Tolk from experience
wako poa sana nao haswa ukiziweza desturi zao
Masai ninaowajua wako real, hawajawa polluted na kizazi cha dotcom, kama anataka gem asepe atakuambia live
Tuko, sitanii ukweli im inlove na wamasai naturally......ukimpata anaetafuta jiko but alieenda shule ata least diploma muelekeze kwangu nimsome then nifanye kweli....Mi mmasai bana... na shule nimeenda enda...