Nawapenda Wanaume Wa Kisukuma

Nawapenda Wanaume Wa Kisukuma

sijasema wasukuma wote wanajua kupenda na wala sijasema makabila mengine hawajui kupenda

haya twende sasa: hujasema wasukuma wote wanajua kupenda: point "baadhi ya wasukuma wanajua kupenda na baadhi hawajui"

hujasema makabila mengine hawajui kupenda: point: "makabila mengine wapo wanaojua kupenda na wapo wasiojua kupenda"

General summary: "katika wasukuma kama yalivyo makabila mengine, kuna wanaojua kupenda na kuna wasiojua kupenda" is that what you meant to say, luv?
 
habari zenu...

Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.

wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.

trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.

NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...

I am interested to know the number of samples you have taken..na baada ya kupata wa kwanza anayejua kupenda ilikuwaje ukamuona na wa pili..au hukutosheka na mapenzi ya yule wa kwanza ukaenda kwingine baadae ndo ukagundua yupo sawa na wa pili na wa tatu na wa nne na wa tano na wa sita ++++++++++++++ to infinity?

the problem with women is everything they think they know about men, they have been taught by their fellow women
 
habari zenu...

Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.

wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.

trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.

NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...

Ni kweli kabisa wanaume wa kisukuma tunajua sana kupenda ingawa wadada wengi mnatake advantage of that.
 
Lakini kila kitu ni perception,ipo siku dada mmoja mbeya city alikimbia na towel mpaka kituo cha police,ili kupata usalama,alipigwa na bonge la oversize ya govinder mpaka akataka kukohoa damu,gash, they do have big dick dick you everseen,they fuC up to hell,queen seems to luv large govinder.

Hahahhaaa, kwa hiyo sister wako alichezea ubooo mpaka akatimkia kituo cha polisi, bwaaaaahahaahahhahahha, ukiona dada mtu anamsimulia mpaka kaka yake kitombo ujue kilikuwa hevi!
 
They have been taught by their fellow women with non of experience then....
.
am not among them... though i pass through but i hate sukuma's...
 
Mi nina Mwalafyale nae anacare balaaa mkaribie na unyakyusani.
 
habari zenu...

Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.

wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.

trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.

NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...

Ya kweli 100% Kwani mke wangu anafurahia ndoa yake...no regret!!
 
queeny,
Wasukuma wa wapi unaoongelea? Wa Geita,Mwanza,Shinyanga au wa Kishapu maeneo ya Isemelo,Buzinza,Mwamashimba,Mwabuzo karibu karibu na Meatu-ambao wanawake wanatumikishwa kwa mikokoteni,kulima mashamba,vijana wanawaacha wake zao watunzwe wao wanaishi maporini kuchunga ng'ombe?
I hope umekutana na msukuma wa mjini aliyeendelea,,nenda bush utafiti maisha ya kabila hili ambalo ni kubwa Tanzania

Kwani wewe mwanamke unambishia queeny? Utafiti fanya mwenyewe na ulete hapa. ..no research no right to speak
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom