Godz favourite
Member
- Mar 16, 2015
- 75
- 28
Msukuma alafu awe mjeda me hoi
Mi ni msukuma ila ni mgambo??? Vipi ratings zangu
Msukuma alafu awe mjeda me hoi
ujasema akihisi unatoka nje anakufyeka mapanga
twende kazi Eeh mkuu,ndio tabia yao haoooo...ndio maana wanawafagilia,wanawake bhana khaa!!!Pia na mabwege halafu ni mashamba na ni mahongaji makubwa tu.Haina haja hata ya limbwata utayaendesha utakavyo.Si ndio raha yenu nyie mabinti.Pambav..
wanadamu hatuna shukrani, yani mwanaume akikupenda kwa dhati na kukujali ndo -----? God forbid.
Najua unaongea tu bila kuwa na uthibitisho wowote ule.we as sukuma man,we know how to care! how to handle a girl!also hospitality ni jadi yetu.Inawezekana wewe ndio -----.jiangalia sana.
wa geita sijui mwanza mi sielewi, namaanisha wa town, wa vijijini nawajulia wapi?
habari zenu...
Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.
wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.
trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.
NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...
hi queeny! ...how about circumcision? Not among your factors? I understand men from that 'area' are predominantly not circumcise!
habari zenu...
Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.
wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.
trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.
NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...
Kwasababu wanajua kupenda na kucare basi mwaweza kupangwa hata 3 bila kuhisi kitu. Na miwivi kibao!
I am done with them!
Mtoa maada ameongelea wasukuma bila kutaja tabata,lakini wasukuma wa mjini ni wapi?,na wakijijini ni wapi?...NOOOO ni asilimia kubwa ya wasukuma wana sifa tajwa bila uangalia ni wa mjini au kijijini.Kuna mambo pengine mnasahau,kua makabila yote nchini yana machimbuko yake na utamaduni wake pia.Mfano ni ajabu kusema asilimia kubwa ya wakurya wana sifa kama zilizotajwa na mtoa maada,lakini haina maana kwamba wakurya wote ni wakatiri.Nilitamani wadada waje na makabila mengine hapa na sifa zake kuliko kufanya classfication kwa kabila moja.Kama wa mjini sawa
Upole,kujali,heshima na ukarimu ndio utambulisho wa wasukuma.Na kwa Geita hata sehemu nyingine msukuma akipata hela hajui kujibana full ku-care!! Nilikuwa nikiwaona Katoro,Nyalugusu,Nyankware,Iparamasa Pamoja na hayo,ishi nao vizuri,,WANA UPENDO WANACHUKIA KWA KUCHUKIZWA ni wazito wa kuchukia ila akichukia una kibarua kurudisha uaminifu,,wasalimie Nyankumbu,Geseco n.k
Ndoa njema
Yes Queeny! ...the current National HIV/AIDS prevalence is 5.7% but in the regions where they do not normally practice male circumcision the prevalence is as high as 15.7%.
Source: Tanzania HIV and Malaria Indicator Surveys 2011-12