Nawaheshimu walimu

Nawaheshimu walimu

Maisha ni bahati ndugu yangu, tengenezs njia Yako Wala usitamani kuwa Fulani, sasa huyo Fulani nae akiitamani kuwa wewe unadhani itakuwaje...?

Mimi nilishawahi kuajiliwa kiukweli maisha yangu yalikuwa magumu Hadi siku niliyo amua kuacha kazi ndio niliyafurahia maisha.

Ajira za kiTanzania ni utumwa sana wanaoifurahia keki ya hii nchi ni wachache sana lakini walimu

Hakuna kitu Wala usiwatamani. Kikubwa muombe sana Mungu akusimamie upate kulifahamu kusudio lako la kuletwa Duniani.

Japo biashara ni nzuri Zaidi fanya biashara utatoka. Tujifunze Kwa wenzetu wahindi au warabu wa hapa nyumba umeshawaona wakihangaika hizo ajira...?

Unadhani awajasoma...?

Wenzetu wanasomea vitu vyenye tija. Sisi tunasoma kufuata mkumbo. Muhindi atasoma ualimu kwasababu wanamiliki shule. Akimaliza kusoma ualimu wake anaenda kuitumikia shule Yao

Lakini wengi wanasomea biashara kwaajiri ya kuendesha biashara zao.

JIAJIRI....AJIRA NI UTUMWA​
Unamshauri afanye Biashara, Biashara ni Nzuri, mara ajiajiri asikubali kuajiriwa...UNAMPA MTAJI?

Unamlinganisha na Wahindi na Waarabu wanaorithi mamilioni ya pesa kwenye account zao toka kwa Babu zao?

Muwe mnaongelea uhalisia kwa kumzingatia Mtu wa chini asiye na chochote cha kuanzia.
 
Kwa course zinazotolewa na vyuo vya posta vinatoa fursa ya mtu kujiajiri, na pia hata kama sio kujiajiri lkn Kwa mtu mjanja ni rahis kuchora ramani mapema tangu kipindi anaanza field ya kwanza.

Mfano mtu anasoma IT pale IFM field ya kwanza akapigia Total Energy baada ya field akaendelea kujitolea pale kwa ile miezi miwili anayokua free kabla hajaingia mwaka wa pili, mwaka wa pili anarudi pale na anaendelea kujitolea pale akihitimu ni rahis kurudi pale, the same kwa aliesoma marketing au procurement CBE au aliesoma mechanical Engineering DIT
Kwani hiyo field uko peke yako hapo ofisini?
 
Natamani kweli ningesomea ualimu tuu nipate mshahara wangu Kila mwisho wa mwezi na nikistaafu Nina mafao yangu ya uhakika
Lakini ndo hivyo sikujua
Soma post graduate faster kabla serikali haijabadili sera. Usichelewe, jiunge open kama huna mfadhiki uchukue digrii yako ya ualimu.
Unachosema ni sahihi ualimu hata usipo ajiriwa serikalini zipo sekta binafsi au kujiajili wewe nwenyewe au kwenye multimedia platform.
UALIMU NDIO SEKTA YENYE FURSA NYINGI SANA UKIONDIA SCIENCE AND BUSINESS.
Kuna watu wanatunga vitabu na kusambaza mashuleni na mtaani wanapiga hela wanaenda kuanzisha mambo mengine(sio hadithi nawaona) tena tuvitabu cheap!
Kama una hoby na talent + elumu yako unaweza anza kufundisha bila kupitia ualimu, jifunze wenzio wanapitaje nawe pita hio njia.
Naweza kukupa mbinu za kuanza hasa kama kwenye majiji sio vijijini but uwe commited.
Kumbika UALIMU ni wito pesa ni matokeo. Usije huku kwa ajili ya kutajirika utaumiza jamii.
 
Kwani hiyo field uko peke yako hapo ofisini?
Anyway inaweza isi-workout kwa Kila mtu kutokana na yy anavoona na anavjitoa katika alilolikusudia, mfano wengi waliokua wanafanyia field Azam sijaona aliewahi pata fursa kwa sababu walikua wanachukua watu wengi wanapangiwa wiki then wiki yako ikiisha ndo bas lkn maeneo mengn watu tulipata fursa ningekutajia hata maeneo
 
Soma post graduate faster kabla serikali haijabadili sera. Usichelewe, jiunge open kama huna mfadhiki uchukue digrii yako ya ualimu.
Unachosema ni sahihi ualimu hata usipo ajiriwa serikalini zipo sekta binafsi au kujiajili wewe nwenyewe au kwenye multimedia platform.
UALIMU NDIO SEKTA YENYE FURSA NYINGI SANA UKIONDIA SCIENCE AND BUSINESS.
Kuna watu wanatunga vitabu na kusambaza mashuleni na mtaani wanapiga hela wanaenda kuanzisha mambo mengine(sio hadithi nawaona) tena tuvitabu cheap!
Kama una hoby na talent + elumu yako unaweza anza kufundisha bila kupitia ualimu, jifunze wenzio wanapitaje nawe pita hio njia.
Naweza kukupa mbinu za kuanza hasa kama kwenye majiji sio vijijini but uwe commited.
Kumbika UALIMU ni wito pesa ni matokeo. Usije huku kwa ajili ya kutajirika utaumiza jamii.
Sina mfadhili na pia sina hata Mia kwa sasa hali yangu ni mbaya kweli kweli
 
Toka ni graduate mwaka jana 2022 mpaka leo sina Ramani yoyote. Nimeshajitolea miezi sita nikafukuzwa. Now nipo kitaa kijiweni na mishe yangu kuu ni betting. Sipendi kubeti lakini maisha ndiyo yalivyonifikisha hapa. Majungu ni mengi but ndio hivo tushazoea tunaishi humo
Intern kwa sasa kufukuzwa au kuacha kazi ni rahisi mnooo. Kuna ofisi niliptaga inten mwaka Jana baada ya kumaliza chuo. Mwaka huu mwez wa pili nikajiengua. Kenge wale
 
Maisha ni bahati ndugu yangu, tengenezs njia Yako Wala usitamani kuwa Fulani, sasa huyo Fulani nae akiitamani kuwa wewe unadhani itakuwaje...?

Mimi nilishawahi kuajiliwa kiukweli maisha yangu yalikuwa magumu Hadi siku niliyo amua kuacha kazi ndio niliyafurahia maisha.

Ajira za kiTanzania ni utumwa sana wanaoifurahia keki ya hii nchi ni wachache sana lakini walimu😭😭😭😭

Hakuna kitu Wala usiwatamani. Kikubwa muombe sana Mungu akusimamie upate kulifahamu kusudio lako la kuletwa Duniani.

Japo biashara ni nzuri Zaidi fanya biashara utatoka. Tujifunze Kwa wenzetu wahindi au warabu wa hapa nyumba umeshawaona wakihangaika hizo ajira...?

Unadhani awajasoma...?

Wenzetu wanasomea vitu vyenye tija. Sisi tunasoma kufuata mkumbo. Muhindi atasoma ualimu kwasababu wanamiliki shule. Akimaliza kusoma ualimu wake anaenda kuitumikia shule Yao😭😭😭

Lakini wengi wanasomea biashara kwaajiri ya kuendesha biashara zao.

JIAJIRI....AJIRA NI UTUMWA​
Elimu nayo ni biashara. Watu wanatajirika kwenye elimu.
Mtu anaemiliki shule hafanyi biashara ?
Kwa nini mnawaza elimu ktk muktadha wa kufundisha tu na kuajiriwa .
Hiu sekta ni kubwa kana mtu ataielewa.
Mda huuu kuna watu wana andaa viatu kwa ajoli ya kuuxia wanafunzi jmdec na jsn wanapiga hela. Hio ni fursa iliozunguka sekta ya elimu, kuna uniform za wanafunzi, kuna dictionary nk nk.
Yuoone sekta ya Elimu kama fursa mkiendekea kuiona kama sekta oliodumaa shauri yenu. Kuna watu wanatajirika na hawawastui.
Ni kama hodpitali zaifi ya unesi na udaktari kuna biashara kubwa inayoizunguka hio sekta. Tubadili jinsi ya kufikiri.
 
Natamani hata ningeenda police Moshi /kilimanjaro niwe hata traffic lakini ndo hivyo umri umenitupa mkono
 
Elimu nayo ni biashara. Watu wanatajirika kwenye elimu.
Mtu anaemiliki shule hafanyi biashara ?
Kwa nini mnawaza elimu ktk muktadha wa kufundisha tu na kuajiriwa .
Hiu sekta ni kubwa kana mtu ataielewa.
Mda huuu kuna watu wana andaa viatu kwa ajoli ya kuuxia wanafunzi jmdec na jsn wanapiga hela. Hio ni fursa iliozunguka sekta ya elimu, kuna uniform za wanafunzi, kuna dictionary nk nk.
Yuoone sekta ya Elimu kama fursa mkiendekea kuiona kama sekta oliodumaa shauri yenu. Kuna watu wanatajirika na hawawastui.
Ni kama hodpitali zaifi ya unesi na udaktari kuna biashara kubwa inayoizunguka hio sekta. Tubadili jinsi ya kufikiri.
Nifanyaje Sasa mkuu Kwa sasa Sina muelekeo nipo nipo tuu
 
Naumia napitwa mpaka na wadogo zangu wenye certificate za ualimu nyumbani saivi ni full dharau
Naumia naumia naumia
Ishi wewe usipende kujishindanisha na watu utakufa kwa presha.

Tafuta mchongo wowote piga.
 
Ishi wewe usipende kujishindanisha na watu utakufa kwa presha.

Tafuta mchongo wowote piga.
Mchongo sijapata nawaza kusomea french nijikite kwenye utalii labda nitatoboa
 
Kama upo competent na upi miji mikubwa anza kufundisha. Hapo hapo ulipo.
TFuta wanafunzi wape huduma ya jioni, watembelee wazazi wao tangaza huduma yako.
Kama wewe ni mkiristo tangaza huduma yako kanisani kama ni muiskamu tangaza huduma yako msikitini.
Fanya utafiti juu ya mwamko wa elimu mtaa i kwenu, majibu yote ni fursa kwako kama hawapendi elimu ni fursa na kama wanapenda ni fursa zaidi.
Anza na watoto hata 10 usichague yaani cheke chea mpaka high school. Wakusanye chumba hutakosa.
Walio mambo safi wafuate uwape huduma nyumbani kwao. Wapo wazazi wanapenda watoto wao wafundishwe tuition nyumbani(wahindi na warabu wakiwemi).
Mwezi ujao form form four wanamaliza, watafute anzisha kituo cha pre form five.
Sajili ki NGO kidogo ambacho kitakuwa na malengo ya kielimu ya kusaidia marginalized pupils kama watoto yatima, wasiojiweza, walemavu, drop out nk kisha access fund kwenye mashirika.
Zingatia uwe tayari unatoa hudima nilizotaja pale juu. Hii miaka ya nyuma ndio ilikuwa dili kwa wanachuo X huko temeke.
Mkuu mambo ni mengi embu tembelea wenzio huko Dar wskupe uzoefu mikoani huwa hamna hizi mambo.
Social protection yako unaweza fanya vuzuri sana ukianzusha NGO ku protect watoto na nazingira yao. Snxusga BFO ya kwenye brifcase japo serilali siku hizi ipo macho haijalala.
Mkuu tumia hio elimu kwa vitendo., kama huba oa kuanzia tafuta mtu anae endesha masuala ya kijamii mtembelee kwake na ak

Fundisha. Ntakupa mbinu za kupata wateja wako.
Social protection unaweza kujiari kama mseminishaji wa watoto, serikdli inafanya seminar nyingi mashuleni hasa hichi kopinfi cha ushoga.
Zimefanywa seminar nyingi sana mwaka jana. Utafute mlango wa wewe kuwa mseminishaji, digrii yako ni trending kabisa cha ajabu hizo seminar zinafanywa na walimu badala ya watu kama wewe
Mkuu mconnect aingie kweny iz seminary.
 
Kwa course zinazotolewa na vyuo vya posta vinatoa fursa ya mtu kujiajiri, na pia hata kama sio kujiajiri lkn Kwa mtu mjanja ni rahis kuchora ramani mapema tangu kipindi anaanza field ya kwanza.

Mfano mtu anasoma IT pale IFM field ya kwanza akapigia Total Energy baada ya field akaendelea kujitolea pale kwa ile miezi miwili anayokua free kabla hajaingia mwaka wa pili, mwaka wa pili anarudi pale na anaendelea kujitolea pale akihitimu ni rahis kurudi pale, the same kwa aliesoma marketing au procurement CBE au aliesoma mechanical Engineering DIT
Talk is cheap.
 
Back
Top Bottom