Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 6,278
- 10,143
Ondoka nyumbani uende mtaani huko ndipo kuna michongo, huwezi upata ukiwa umekaa ndani unachatiMchongo sijapata nawaza kusomea french nijikite kwenye utalii labda nitatoboa
Ondoka nyumbani uende mtaani huko ndipo kuna michongo, huwezi upata ukiwa umekaa ndani unachatiMchongo sijapata nawaza kusomea french nijikite kwenye utalii labda nitatoboa
Loh! and what subjects did you learn there. During the good old days we didn't have such a discipline.IFM social protection
Sijakuelewa mkuuLoh! and what subjects did you learn there. During the good old days we didn't have such a discipline.
Ngashangaa! Masomo gani uliyoyachukua huko Chuoni? Enzi zetu hatukuwa na "field of study" au masomo kama hayo. Nadhani sasa utanieiewa.Sijakuelewa mkuu
At least wanamishaharaUsichokijua hata hao walimu wanasota mtaani!
I'm not sure ila nilisikia majuzi hapaImefutwa lini
Pole sana, I can feel your painNatamani hata ningeenda police Moshi /kilimanjaro niwe hata traffic lakini ndo hivyo umri umenitupa mkono
Unaweza kuachana na French ukasomea Chinese/Mongolia kama sijakoseaMchongo sijapata nawaza kusomea french nijikite kwenye utalii labda nitatoboa
Course ya Chinese inatolewa wapiUnaweza kuachana na French ukasomea Chinese/Mongolia kama sijakosea
Kuna Dogo aliishia Form IV akasomea lugha ya kichina na sasa ni Mkalimani wa Mainjinia wa Kichina wanaojenga barabara pamoja na wanaoleta bidhaa Tanzania
Kwakweli kwasasa ana maisha
Njoo PM mkuu tuyajengeCourse ya Chinese inatolewa wapi