- Thread starter
- #41
Tatizo Sasa ushauri kama huu naupata too late kipindi Niko chuo hamna mtu wa kukumentorKwa course zinazotolewa na vyuo vya posta vinatoa fursa ya mtu kujiajiri, na pia hata kama sio kujiajiri lkn Kwa mtu mjanja ni rahis kuchora ramani mapema tangu kipindi anaanza field ya kwanza.
Mfano mtu anasoma IT pale IFM field ya kwanza akapigia Total Energy baada ya field akaendelea kujitolea pale kwa ile miezi miwili anayokua free kabla hajaingia mwaka wa pili, mwaka wa pili anarudi pale na anaendelea kujitolea pale akihitimu ni rahis kurudi pale, the same kwa aliesoma marketing au procurement CBE au aliesoma mechanical Engineering DIT
Yaani unajikuta unajifanyia mambo mwenyewe tuu bila muongozo hasa Kwa sisi yatima tusio na wazazi ndugu hawahangaiki kabisa
