Nawaheshimu walimu

Nawaheshimu walimu

Kwa ushauri wangu jitahidi usomee hata driving inachukua miezi miwili au mitatu, huwezi lala njaaa
Pia jaribu kujichanganya mtaani usijifungie sana ndani mbona ramani zipo kibao mtaani, Anza na hizi hizi za kawaida kadri siku zinavoenda utapata sehemu nzuri
Sawa sawa
 
Achana nao mkuu we pambana mkuu tafuta mishe.
1.Jisajili TAESA unaweza pata internship.
2.Jisajili Linked follow kampun za tumbaku wanatoaga nafas za watu kama nyie.
Kampuni izo ni JTI,Mkwawa, Alliance one,Magefa and G4.

Kwa kozi yako cheza na NGO mkuu ingia JTI tengeneza profile utege michongo mkuu
Huko Linked huwa naona watu wanajisifia tu, bora ajichanganye pia mambo mengine
 
Basi ajira zipo kimboka
Kwa course zinazotolewa na vyuo vya posta vinatoa fursa ya mtu kujiajiri, na pia hata kama sio kujiajiri lkn Kwa mtu mjanja ni rahis kuchora ramani mapema tangu kipindi anaanza field ya kwanza.

Mfano mtu anasoma IT pale IFM field ya kwanza akapigia Total Energy baada ya field akaendelea kujitolea pale kwa ile miezi miwili anayokua free kabla hajaingia mwaka wa pili, mwaka wa pili anarudi pale na anaendelea kujitolea pale akihitimu ni rahis kurudi pale, the same kwa aliesoma marketing au procurement CBE au aliesoma mechanical Engineering DIT
 
Back
Top Bottom