Nawaheshimu walimu

Nawaheshimu walimu

lee jack

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
1,082
Reaction score
1,917
Watanzania wenzangu nisiwadanganye kwa msoto niliopitia wa kukosa ajira Serikalini tangu nimalize chuo ninawaheshimu sana waliosomea ualimu, wengi sasa hivi wanakula tu mishahara yao mwisho wa mwezi.

Najuta, natamani hata ningesoma ualimu labda maisha yangu yangekuwa na afadhali muda huu ningekuwa nasubiri mshahara wa uhakika mwisho wa mwezi, wenzangu waliokimbilia huko mambo yao sio haba.

NB: Majuto ni mjukuuu
 
Watanzania wenzangu nisiwadanganye kwa msoto niliopitia wa kukosa ajira serikalini tangu nimalize chuo ninawaheshimu sana waliosomea ualimu wengi sasa hivi wanakula tu mishahara yao mwisho wa mwezi.

Najuta natamani hata ningesoma ualimu labda maisha yangu yamgekua na afadhali muda huu ningekua nasubiri mshahara wa uhakika mwisho wa mwezi wenzangu waliokimbilia huko mambo yao sio haba

NB: Majuto ni mjukuuu
Chief maticha kibao wako street
Wana kibao wanalamba asali utumishi na sio maticha.

Usitegemee huruma ya mtu, jisajili ajira portal kula madesa utatoboa tu chief kikubwa utinge oral.
 
Ifm social protection
So ulisoma utu protect lkn government imeshindwa kukuprotect..!
By the way usikate tamaa haijaisha mpk pumzi yako iishe, mkuu sahivi hakuna kubagua kazi mtaani kugumu sana haswa ukiwa huna chochote mfukoni!..

Anza kuweka mipango, mipango sio lazima uwe na hela weka mipango, angalia wapi parahisi kwako kama unalikoneksheni limoja tobolea hukohuko komaa nalo mpaka kieleweke, angalau ukiwa unapata ya kulakula hivi utatuliza kichwa huku ukichakata other plan.

Maisha haya kizungumkuti sana
 
So ulisoma utu protect lkn government imeshindwa kukuprotect..!
By the way usikate tamaa haijaisha mpk pumzi yako iishe,mkuu sahivi hakuna kubagua kazi mtaani kugumu sana haswa ukiwa huna chochote mfukoni!.. Anza kuweka mipango, mipango sio lazima uwe na hela weka mipango angalia wapi parahisi kwako kama unalikoneksheni limoja tobolea hukohuko komaa nalo mpaka kieleweke, angalau ukiwa unapata ya kulakula hivi utatuliza kichwa huku ukichakata other plan.

Maisha haya kizungumkuti sana
Naumia napitwa mpaka na wadogo zangu wenye certificate za ualimu nyumbani saivi ni full dharau
Naumia naumia naumia
 
Watanzania wenzangu nisiwadanganye kwa msoto niliopitia wa kukosa ajira serikalini tangu nimalize chuo ninawaheshimu sana waliosomea ualimu wengi sasa hivi wanakula tu mishahara yao mwisho wa mwezi.

Najuta natamani hata ningesoma ualimu labda maisha yangu yamgekua na afadhali muda huu ningekua nasubiri mshahara wa uhakika mwisho wa mwezi wenzangu waliokimbilia huko mambo yao sio haba

NB: Majuto ni mjukuuu
Msoto hupelekea kufikiri mambo makubwa zaidi kuliko anaeishi Kwa raha kisichomfanya mtu kuwa mkuu hata baada ya miaka mingi kisikufanye ujisikie vibaya

Tumia msoto vizuri huo kunaa wazo bora litatokea hapo na hilo litakutofautisha na waliotangulia na baskeli za miti

Mafanikio hayapimwi Kwa mtu kuwa na fenicha nzuri ndani au kajumba na kausafiri
Ila yanapimwa na vile unavyozalisha mambo yanayokuwa msaada kwenye jamii na hapo ndio utatoboa hata kama utachelewa

Elimu imekuchonga na itakusaidia kuwa na speed wakuchakata mawazo yanayokujia na kuyafanya yawe bora zaidi

Usiishie kufiki kwamba elimu ipo kukufanya uajiliwe na kujipimanisha na wengine

Wewe sio wao na usisahau kuna watu wanatamani hata wangekuwa na hatua uliyofikia tu

#Tumia msoto vizuri unakunoa huo
#Msoto huzalisha majitu
#Msoto huimarisha akili
#ukipitia msoto furahia maana ukipita hapo hautakuwa na fikra za chini kamwe
#wewe sio wao
 
Naumia napitwa mpaka na wadogo zangu wenye certificate za ualimu nyumbani saivi ni full dharau
Naumia naumia naumia
Achana nao mkuu we pambana mkuu tafuta mishe.
1.Jisajili TAESA unaweza pata internship.
2.Jisajili Linked follow kampun za tumbaku wanatoaga nafas za watu kama nyie.
Kampuni hizo ni JTI, Mkwawa, Alliance one, Magefa and G4.

Kwa kozi yako cheza na NGO mkuu ingia JTI tengeneza profile utege michongo mkuu.
 
Naumia napitwa mpaka na wadogo zangu wenye certificate za ualimu nyumbani saivi ni full dharau
Naumia naumia naumia
Achana nao mkuu we pambana mkuu tafuta mishe.
1.Jisajili TAESA unaweza pata internship.
2.Jisajili Linked follow kampun za tumbaku wanatoaga nafas za watu kama nyie.
Kampuni izo ni JTI,Mkwawa, Alliance one,Magefa and G4.

Kwa kozi yako cheza na NGO mkuu ingia JTI tengeneza profile utege michongo mkuu
 
Sina ujuzi mwingine Nina waza nikasomee tour guide lakini ada nayo changamoto
Kwa ushauri wangu jitahidi usomee hata driving inachukua miezi miwili au mitatu, huwezi lala njaaa
Pia jaribu kujichanganya mtaani usijifungie sana ndani mbona ramani zipo kibao mtaani, Anza na hizi hizi za kawaida kadri siku zinavyoenda utapata sehemu nzuri.
 
Back
Top Bottom