Nawaheshimu walimu

Nawaheshimu walimu

Toka ni graduate mwaka jana 2022 mpaka leo sina Ramani yoyote. Nimeshajitolea miezi sita nikafukuzwa. Now nipo kitaa kijiweni na mishe yangu kuu ni betting. Sipendi kubeti lakini maisha ndiyo yalivyonifikisha hapa. Majungu ni mengi but ndio hivo tushazoea tunaishi humo
mkuu ulifanya kosa gani??
 
Kuna muda wakati wetu utafika tu mkuu hakuna mwenye jitihada na mwenye kuamini aliyeandikiwa kukosa
Ameen Ameen kaka Mungu ataweka mkono wake inshallah. Aisee huku mtaani tunaishi na madeni, majungu mengi, vibarua hakuna ukipata ujira Mdogo, ajira ndio hivo nazo ngumu, ukisema ujaribu biashara mtaji huna. Dharau majungu mengi mtaani. Ila yote kheri
 
Ameen Ameen kaka Mungu ataweka mkono wake inshaly. Aisee huku mtaani tunaishi na madeni, majungu mengi, vibarua hakuna ukipata ujira Mdogo, ajira ndio hivo nazo ngumu, ukisema ujaribu biashara mtaji huna. Dharau majungu mengi mtaani. Ila yote kheri
Mimi naimani tu kaka wakati wetu utafika no matter tunapitia changamoto gan
 
Back
Top Bottom