Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,767
- 4,035
Nmeandika 20000 hawa Ni kuku wakienyeji kutoka singida maji Mara moja kuku wenye Radha Tanzania nzima ukila hutojutia utamu wake mkuu
Ni sawa, umesomeka.
Niliweka 5000 kwani ulikuwa hujaweka bei na uliulizwa lakini ukuweka ndiyo maana nikaona nikusaidie kuweka hiyo bei.
Ni vizuri kama unauza kitu uweke taarifa husika mfano picha, bei na upatikanaji wake.