Je, kuku wa kienyeji sio wa kibiashara?

May 31, 2022
20
19
JEE KUKU WA KIENYEJI SIO KUKU WA KIBIASHARA??

NOOO,,,, Leo kampuni MWALIMU GROUP LTD imekuja na jibuuu la swalii hiloo

Kuku wa kienyeji ni kuku wa asiri na mwenye sifa ambazo kuku wengii hawana kama..

1.Anauwezo wa kustahimili magonjwa
2.Nyama yake ni nzuri na ya kuvutia
3.Anauwezo wa kutaga mayai mengi na kuyaatamia (kuyaangua) mwenyewee
4.Unaweza kumfuga kwa njia tatuu fofauti (Huria, Nusu huria na shadidii)
Kukuu wa kienyeji ni kuku boraa katika ulimwengu wa ufugaji

Kupitia sifa hizoo kuku wa kienyeji anakupa Advantage wewee mfugajii kuwafuga na kupata matokeo makubwa zaidii

Ukikosa pesa ya chakula kuku wa kienyeji anauwezo wa kutafuta chakula chakee mwenyewee na badae ukipata pesa wakaendelea na kula chakula cha mchanganyo special NB Dawa ya minyoo kwa kuku wanaojitafutia chakula

Kutokana na uchache wao na uwadimu wao katika karne hii unaweza kutumia kama fursa kutengeneza sokoo lakoo na kulii Brand kwa upekee

Kuku wa kienyeji haitaji INCUBATOR MACHINE ilikuweza kupata vifarangaa kwa sababu mama mazaz anauwez wa kuatamia vizuri na kutoa vifarangaa wotee wakiwa salama

Kuku wa kienyeji anauwezo wa kukupa pesa zaidii ya kuku wengne wote kama tu utamfuga kama biashara

Sifa za kuku wa kienyeji ni nyingii siwez kuzimaliza kabisa

Kampuni ya MWALIMU GROUP LTD kwa kugundua hiloo inatoa OFAA kubwa kwa wateja wao na wafugaji kwa shilingi 8000-6000

NB KUKU ANAPASWA KULA CHAKULA BORA CHENYE MCHANGANYO SAWA LAKINI PIA CHANJO ZOTE ANATAKIWA KUPEWA NA KUZINGATIA AFYAA YAKEE

FIKA SASA OFISINI KWETU GOBA NJIA NNE AU MAWASILIANO ZAIDI 0676 176 742

IMG-20221230-WA0000.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom