Nauza Kuku wa kienyeji kutoka Singida

cadey

cadey

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2014
Messages
905
Points
1,000
cadey

cadey

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2014
905 1,000
Mimi na wewe Nani mbishi mkuu kijijini kwetu hakuna miradi ya ivyo maana ndiko nakochukulia kuku hawajui hata hao chotara labda Kama Kuna vijiji mlipeleka lakini kwetu wilaya ya iramba hakuna ivyo vitu usinibishie na mm Ni mzaliwa wa huko na ndio maana wafanya biashara wengi wanakimbilia singida na tabora sababu ndio sehem zimebaki zinazofuga kuku wa kienyeji pure
Pia usilazimishe uongo kua ukwel kwa lengo la kuharibu biashara ya mtu Ni bora watumiaje wanaonunua waje watoe malalamiko hapa Kama je nmewahi kuwauzia kuku chotara au kuku naouza Ni wakienyeji Wao ndio walete mrejesho au hata wewe nakushauri ununue mmoja then ulete mrejesho hapa watu wapate majibu kupitia wewe
Samahani sana,sikuwa na nia hiyo kama ulivyoandika mimi niliandika kutokana na uzoefu wangu,mbali na kua mwenyeji wa singida nimefanya kazi za miradi wilaya zote za singida nilieleza hali halisi tuu,
 
vumiliag

vumiliag

Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
92
Points
125
vumiliag

vumiliag

Member
Joined Sep 1, 2018
92 125
Samahani sana,sikuwa na nia hiyo kama ulivyoandika mimi niliandika kutokana na uzoefu wangu,mbali na kua mwenyeji wa singida nimefanya kazi za miradi wilaya zote za singida nilieleza hali halisi tuu,
Usijari mkuu Kama upo dar nunua mmoja wakuonja kwa Radha Safi kabisa ufurahie na sijabisha sabab kwetu huku sijaona kitu Kama icho ndio maana na uhakika kua Ni wakienyeji hata waliokula chotara wanaofuga kwa kienyeji pia nilvowauzia walileta mrejesho kua kuku ni wazuri Sana na wamenona Wana mafuta mengi Kama unavoona hapo juu
 
KYALOSANGI

KYALOSANGI

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Messages
2,462
Points
2,000
KYALOSANGI

KYALOSANGI

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2011
2,462 2,000
Hongera mayu,Yani nkuku ipunile kulyamba nimakuta makue! Kumbe nu kwaso kumpwani nama na nziza zikole! Ale nukugula nkuku nsutapi,Amelia mayu😁:p
 
kulubule

kulubule

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
2,719
Points
2,000
kulubule

kulubule

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
2,719 2,000
Nmeandika 20000 hawa Ni kuku wakienyeji kutoka singida maji Mara moja kuku wenye Radha Tanzania nzima ukila hutojutia utamu wake mkuu
Mkuu 20000 bei mno ningekutaka uwe unaleta hotelini lakini unabei kubwa za ajabu sana kuku tuliye mkaanga hapa mzima tunamuuza 22000
 

Forum statistics

Threads 1,324,577
Members 508,741
Posts 32,166,721
Top