Nauza Kuku wa kienyeji kutoka Singida

Karibuni
IMG_20190826_130707.jpeg
 
Jf kuna watu wana degree za ubishi
Kuku wa maeneo ya Manyoni wengi ndiyo mbegu ndogo
Ila Iramba Ndago huko kuna makuku makubwa ukienda mpaka ziwani kule kuna mpaka hayo mnaita kuchi
.
Halafu wanauza bei nzuri sana hasa kwenye minada
Tupunguze ujuaji jamani
Na kuku wa mayai hawana njano wanakuwa plain weupe
 
Asante mkuu kwakunisaidia pia nlijitahidi kukutafuta japo sikufanikiwa... naomba nije pm unisaidie kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom