Nauza Kuku wa kienyeji kutoka Singida

Hakuna mkoa Kuku Bei rahisi kama Singida
Mkuu Inabidi uniambie upo sehem unipe na namba zako unielekeze kuliko na kuku wanaouzwa bei rahisi huko singida utakua umenisaidia kweli maana nakoagiza kuku wanauzwa bei adi napata faida kidogo ntashukuru ukinisaidia kwa hili
 
Tunauziwa watagaji mayai wastaafu tunaambiwa ni wa kienyeji
Hawa naowauza Mimi Ni kienyeji kabisa wanatoka vijijini Sana na mkoa wa singida bado hawajaanza kufuga kuku wa kisasa ivyo kuku Ni wwnyewe angalia hata kiini Cha yai
 
Habari za muda huu natafuta mtu mwenye hotel au mgahawa ambaye ntakua nampelekea kuku wa kienyeji original kutoka singida vijijini kwa wingi mfano naweza kua nampelekea kuku 50 Kwa week au kuku 100 kwa week ....Bei ya jumla ntafanya kwa 17000 kushuka chini kulingana na size ya kuku

Pia nauza kuku hao wa kienyeji kutoka singida kwa rejareja .....mtu akihitaji ikiwa Ni ofisin au nyumbani nampelekea...BEI ya rejareja Ni 20000 tetea Ni wakubwa na jogoo wakubwa Ni 22000

NB: ukinunua kuku kuanzia watatu nakuletea free chini ya hapo utalipia usafiri

Napatikana kimara mwisho 0692669235

tapatalk_1565443356467.jpeg
tapatalk_1565443397811.jpeg
 
Habari za muda huu natafuta mtu mwenye hotel au mgahawa ambaye ntakua nampelekea kuku wa kienyeji original kutoka singida vijijini kwa wingi mfano naweza kua nampelekea kuku 50 Kwa week au kuku 100 kwa week

Pia nauza kuku hao wa kienyeji kutoka singida kwa rejareja .....mtu akihitaji ikiwa Ni ofisin au nyumbani nampelekea

NB: ukinunua kuku kuanzia watatu nakuletea free chini ya hapo utalipia usafiri

Napatikana kimara mwisho 0692669235

View attachment 1177710View attachment 1177712
Mkuu punguza bei unauza ghali sana
 
Mkuu punguza bei unauza ghali sana
Mkuu Kama unachukua wa jumla Bei Ni tofauti na rejareja ....pia nawatoa mbali Sana mkuuu napata kafaida kadogo maana sikuiz singida wamestuka wamekua wanatuuzia Bei kubwa sisi wa mikoani maana wameona saivi Ni dili Sana
 
Wateja wangu wa awali mnisamehe nliibiwa simu nmebadili namba sababu saivi Ni mlolongo mrefu kurudisha namba iliyopotea ivyo Sina namba zenu mnicheki upya ...samahani kwa usumbufu
 
Nmeandika 20000 hawa Ni kuku wakienyeji kutoka singida maji Mara moja kuku wenye Radha Tanzania nzima ukila hutojutia utamu wake mkuu
Kwani umesema ni bei gani tena kwa kuku mmoja?
 
Hapa arusha mjini kuku wa kienyeji jogoo ni tsh 14,000 na mtetea ni 12,000 kwa rejareja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom