Nauza Kuku wa kienyeji kutoka Singida

Ulimbo

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Messages
1,880
Points
2,000
Ulimbo

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2009
1,880 2,000
Nmeandika 20000 hawa Ni kuku wakienyeji kutoka singida maji Mara moja kuku wenye Radha Tanzania nzima ukila hutojutia utamu wake mkuu
Ni sawa, umesomeka.
Niliweka 5000 kwani ulikuwa hujaweka bei na uliulizwa lakini ukuweka ndiyo maana nikaona nikusaidie kuweka hiyo bei.
Ni vizuri kama unauza kitu uweke taarifa husika mfano picha, bei na upatikanaji wake.
 
vumiliag

vumiliag

Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
92
Points
125
vumiliag

vumiliag

Member
Joined Sep 1, 2018
92 125
Ni sawa, umesomeka.
Niliweka 5000 kwani ulikuwa hujaweka bei na uliulizwa lakini ukuweka ndiyo maana nikaona nikusaidia kuweka hiyo bei.
Ni vizuri kama unauza kitu uweke taarifa husika mfano picha, bei na upatikanaji wake.
Vyote nimeweka mkuu
 
vumiliag

vumiliag

Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
92
Points
125
vumiliag

vumiliag

Member
Joined Sep 1, 2018
92 125
Hapa arusha mjini kuku wa kienyeji jogoo ni tsh 14,000 na mtetea ni 12,000 kwa rejareja
Hata wa 10000,7000,5500 wapo wengi tu lakini ujue saivi watu wanastuka hawataki kutumia vitu vyenye makemikali wanataka vitu vyaasili
 
Kelvin A. Mtoma

Kelvin A. Mtoma

Verified Member
Joined
Apr 14, 2013
Messages
275
Points
250
Kelvin A. Mtoma

Kelvin A. Mtoma

Verified Member
Joined Apr 14, 2013
275 250
Nahitaji wa kufuga nipo Dodoma
 
mbarika

mbarika

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2015
Messages
2,046
Points
2,000
mbarika

mbarika

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2015
2,046 2,000
Hata wa 10000,7000,5500 wapo wengi tu lakini ujue saivi watu wanastuka hawataki kutumia vitu vyenye makemikali wanataka vitu vyaasili
Hakuna kuku wa kienyej mkubwa hivo
Usiseme uongo kijana hao ni chotara
Mimi Nipo singida na ninafuga hao kuku nakuwauza

Mimi huwa nawaeleza ukweli kabsaa sasa ww unaenda kusema uongo hao sio pure kienyej Sema chotara
 
cadey

cadey

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2014
Messages
905
Points
1,000
cadey

cadey

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2014
905 1,000
Kweli ni chotara sio kienyeji pure labda hawajui kuku asilia wa singida vizuri afu kuku wa singida pure sio walaini
Hakuna kuku wa kienyej mkubwa hivo
Usiseme uongo kijana hao ni chotara
Mimi Nipo singida na ninafuga hao kuku nakuwauza

Mimi huwa nawaeleza ukweli kabsaa sasa ww unaenda kusema uongo hao sio pure kienyej Sema chotara
 
vumiliag

vumiliag

Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
92
Points
125
vumiliag

vumiliag

Member
Joined Sep 1, 2018
92 125
Hakuna kuku wa kienyej mkubwa hivo
Usiseme uongo kijana hao ni chotara
Mimi Nipo singida na ninafuga hao kuku nakuwauza

Mimi huwa nawaeleza ukweli kabsaa sasa ww unaenda kusema uongo hao sio pure kienyej Sema chotara
Kama unafuga na kuku wako Ni wadogo wadogo inabidi umuulize aliyekuuzia mbegu labda alikuuzia mbegu iliyodumaa sababu nmezaliwa singida pia nlikulia huko kwa kiasi fulan sijawahi ona kuku wadogo kulinganisha na mikoa mingine ....pia siuzi kuku chotara hao kuku unawaona Ni kuku wakienyeji nmewatoa kihomboi
 
vumiliag

vumiliag

Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
92
Points
125
vumiliag

vumiliag

Member
Joined Sep 1, 2018
92 125
Kweli ni chotara sio kienyeji pure labda hawajui kuku asilia wa singida vizuri afu kuku wa singida pure sio walaini
Nyinyi ndio amjui kuku wakienyeji kutoka mkoa wa singida kuku wake Ni WALAINI Sana maji Mara moja tu na inatokana na kuku kua wanafugwa kienyeji kwa kujiokotea chakula na kula mtama Sana ukiona umeuziwa kuku Ni mdogo ujue Ni kulingana na Bei yako
 
vumiliag

vumiliag

Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
92
Points
125
vumiliag

vumiliag

Member
Joined Sep 1, 2018
92 125
NB:siuzi kuku chotara hao kuku Ni wakienyeji pure karibuni sana
 
cadey

cadey

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2014
Messages
905
Points
1,000
cadey

cadey

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2014
905 1,000
Kama unafuga na kuku wako Ni wadogo wadogo inabidi umuulize aliyekuuzia mbegu labda alikuuzia mbegu iliyodumaa sababu nmezaliwa singida pia nlikulia huko kwa kiasi fulan sijawahi ona kuku wadogo kulinganisha na mikoa mingine ....pia siuzi kuku chotara hao kuku unawaona Ni kuku wakienyeji nmewatoa kihomboi
We unabisha tuu,mi nishawahi kufanya kazi na shirika fulani mradi wa kukomboa kaya maskini ,tulikuwa tunapita wilayani na vijinini huko singida na wakuwapa mbegu za vifaranga chotara wafuge na baadaye yakaanza kwenda makampuni binafsi yalianza kutembeza vifaranga vya chotara na kuuza reja reja kwa wenyeji,sema wao wanafuga free range,free from antibiotic
 
vumiliag

vumiliag

Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
92
Points
125
vumiliag

vumiliag

Member
Joined Sep 1, 2018
92 125
We unabisha tuu,mi nishawahi kufanya kazi na shirika fulani mradi wa kukomboa kaya maskini ,tulikuwa tunapita wilayani na vijinini huko singida na wakuwapa mbegu za vifaranga chotara wafuge na baadaye yakaanza kwenda makampuni binafsi yalianza kutembeza vifaranga vya chotara na kuuza reja reja kwa wenyeji,sema wao wanafuga free range,free from antibiotic
Sasa wewe ulikua unapita mm nmezaliwa huko na nmekulia huko mkuu watu wa kule hawatumii hayo machotara na hao kuku Ni wakienyeji. Hata Radha ipo tofauti wapo watu humu nawauzia Mara nyingi tu walioishi mkoa wa singida wakahamia dar kikazi wanajua nachoongea hapa Kama lengo Ni kuharibu biashara nakupa pole
 
cadey

cadey

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2014
Messages
905
Points
1,000
cadey

cadey

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2014
905 1,000
Sasa wewe ulikua unapita mm nmezaliwa huko na nmekulia huko mkuu watu wa kule hawatumii hayo machotara na hao kuku Ni wakienyeji. Hata Radha ipo tofauti wapo watu humu nawauzia Mara nyingi tu walioishi mkoa wa singida wakahamia dar kikazi wanajua nachoongea hapa Kama lengo Ni kuharibu biashara nakupa pole
Hata mimi nimekulia huko ,we unabisha tuu,ni kweli hao kuku wanaweza kuwa wamefugwa free range lakin mbegu ni chotara sio ile asilia,nakwambia watu wanapita vijinini na mabox ya vifaranga chotara wanauza plus miradi ya tasaf
 
vumiliag

vumiliag

Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
92
Points
125
vumiliag

vumiliag

Member
Joined Sep 1, 2018
92 125
Hata mimi nimekulia huko ,we unabisha tuu,ni kweli hao kuku wanaweza kuwa wamefugwa free range lakin mbegu ni chotara sio ile asilia,nakwambia watu wanapita vijinini na mabox ya vifaranga chotara wanauza plus miradi ya tasaf
Mimi na wewe Nani mbishi mkuu kijijini kwetu hakuna miradi ya ivyo maana ndiko nakochukulia kuku hawajui hata hao chotara labda Kama Kuna vijiji mlipeleka lakini kwetu wilaya ya iramba hakuna ivyo vitu usinibishie na mm Ni mzaliwa wa huko na ndio maana wafanya biashara wengi wanakimbilia singida na tabora sababu ndio sehem zimebaki zinazofuga kuku wa kienyeji pure
Pia usilazimishe uongo kua ukwel kwa lengo la kuharibu biashara ya mtu Ni bora watumiaje wanaonunua waje watoe malalamiko hapa Kama je nmewahi kuwauzia kuku chotara au kuku naouza Ni wakienyeji Wao ndio walete mrejesho au hata wewe nakushauri ununue mmoja then ulete mrejesho hapa watu wapate majibu kupitia wewe
 
Forum statistics

Threads 1,324,584
Members 508,741
Posts 32,167,171
Top