Nauza Kuku wa kienyeji kutoka Singida

vumiliag

JF-Expert Member
Sep 1, 2018
375
700
Nauza kuku wa kienyeji kutoka singida, kuku ni walaini maji mara moja tu kwa ladha murua kabisa

Ukitaka aliyenyonyolewa kabisa pia utapata akiwa freshi bila kukaa kwenye jokofu, pia utapata ukihitaji akiwa mzima uchinje mwenyewe
.
NB.kuku ni wakubwa na walaini maji mara moja
Watu wa kimara,mbezi,mwenge,sinza,posta ukinunua kuanzia kuku wa tatu (3) ntakuletea ulipo bure kabisa,
bei tetea 20000 majogoo 22000

Pia watu wa oda kama ni mahotelini au wenye event kama unahitaji wengi nakufikishia
Wanapatikana kimara mwisho.

Simu namba 0692669235

mwisho
20190615_120408.jpeg
 
mkuu hao kuku wajauzwa ?? mm sijakuelewa unamaanisha nini au nikuwatoa mayai kama uliyotuonyesha hapo
Kuku wapo wengi mkuu iyo picha nmeonesha jinsi wanavyokua wakichinjwa na ayo mayai ni mteja ajue kua sio kuku feki ni orignal kuku walipo ni wazima sio waliochinjwa iyo picha ni mfano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom